Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa

Kuna ndugu yangu "fundi mtaalam" kweri kweri yaan anaweza kubadilisha hata matokeo ya mechi iliyopita. Viongozi wa Simba mkitaka kombe njooni pm, kwa kiwango cha wapinzani wenu bila ndumba mtacheza tena kombe la losers!
 
Feisal au Shila una hela gani za kuwatoa Azam, Makolo mna ndoto za mchana.
Mchezaji wa maana mliyesajili ni Deborah ambaye kipindi cha pili anatepeta
Debora alitepeta kwa kukosa msaada maana baada ya Kagoma kutoka muda wote alikuwa mtu wa kuzuia kuliko kushambulia na kushindana na viungo wa Yanga haikuwa rahisi...

Huyo Okajepha aliyeingia alikuwa msafiri tu, in short ukiona siku Kagoma hayupo jua hutoona ufanisi wa Deborah maana hana msaada sahihi pembeni yake kwenye kukaba.

Sillah na Feisal wakiwa free agents hela yao haipishani na Mpanzu... Halafu pacha ya Sillah yule Kipre Junior kauzwa Mil 500/- kwenda USM Alger Simba inashindwaje?
 
hiyo gharama ya kuwa na wachezaji wawili kwenye position moja wenye uwezo unaofanana nani analipa? Dirisha dogo mbadala wa mutale,mukwala,ngoma unawapatia wapi na kwa sh ngapi? Timu ipi itakubali kuwaachia wachezaji wake muhimu dirisha dogo?
Wengine mikataba inaisha wakati huo wa dirisha dogo, hawawezi kukosekana labda gharama zao
 
Ukome wewe chura kiziwi
 
Weee kucheka gani huku....😬😬😬
 
Na mashabiki tuisaidie kwa kufanya kazi kwa bidii maana Simba haitaleta ugali mezani. Wenzetu wanapewa supu ndo maana wavivu. Hahaha.
 
Simba timu nyepesi sana, mechi ya juzi ukiangalia benchi unaona hawatoboi kabisa. Wakati benchi la Yanga vinaingia vyuma tu.
 
Toa huo mwiko nyuma....utapata akili
Ubaya ubwela forever...
Kwani mlifunga hata haooo..vinyesi FC...
Nilikwambia usianzishe ugomvi wa mawe ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo, kiko wapi sasa 😊

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Sawa bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…