Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,199 Reaction score 7,562 Apr 5, 2021 Thread starter #21 imhotep said: Tunataka Taasisi Imara za Ajabu kwanza Viongozi hata kama sio wa Ajabu hakuna tatizo Click to expand... Uko sahihi mkuu, ila kipi kinaanza kabla ya kipi? Au kuku na yai?
imhotep said: Tunataka Taasisi Imara za Ajabu kwanza Viongozi hata kama sio wa Ajabu hakuna tatizo Click to expand... Uko sahihi mkuu, ila kipi kinaanza kabla ya kipi? Au kuku na yai?
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,199 Reaction score 7,562 Apr 5, 2021 Thread starter #22 Upepo wa Pesa said: Hapo kwenye uwiano wa kijinsia ndio umeharibu. Sasa kati ya hao watatu wakiwa wanaume wote itabidi umuache mmoja ili umchomeke mwanamke mmoja? Click to expand... Mkuu, ukifanya randomly sampling & competence based sorting lazima upate reprentative sample yenye watu wote including wanaume na wanawake. Otherwise labda tuseme kuna kundi halina akili lakini kama wote wana akili watatokea tu.
Upepo wa Pesa said: Hapo kwenye uwiano wa kijinsia ndio umeharibu. Sasa kati ya hao watatu wakiwa wanaume wote itabidi umuache mmoja ili umchomeke mwanamke mmoja? Click to expand... Mkuu, ukifanya randomly sampling & competence based sorting lazima upate reprentative sample yenye watu wote including wanaume na wanawake. Otherwise labda tuseme kuna kundi halina akili lakini kama wote wana akili watatokea tu.
Rebeca 83 JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15,669 Reaction score 33,691 Apr 5, 2021 #23 number 4 kwenda kwa wabunge no,mimi nahisi hamna haja ya kupitia huko,hatua zote zingine ulizotaja ni nzuri
number 4 kwenda kwa wabunge no,mimi nahisi hamna haja ya kupitia huko,hatua zote zingine ulizotaja ni nzuri