Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Ahsante sanaNgoja waje wataalamu,ila uwe tayari wa kupembua kwa wanatakayo kupa.
Kwanza poleni sana, dah aisee! Ikiwezekana bora atumie hivyo vidonge tu maana ile njia nyingine ina maumivu sana.Habari za muda wana jamvi, nina ndugu yangu amepata miscarriage, ameenda hospital wamemwambia kuna njia mbili za kusafishwa
A. Kutumia vifaa vya kusafishia
B. Vidonge
Ahsante mkuu...🤝Kwanza poleni sana, dah aisee! Ikiwezekana bora atumie hivyo vidonge tu maana ile njia nyingine ina maumivu sana.
Hahaha dah hapana asee, hapana kabisaShida yako tukamatwe tu
Mhusika alitamani kuilea sana sema ndo hivyo tena sio mapenzi ya MUNGULea mimba hiyo
Anasema zote ni nzuri japo ya kutumia vifaa ina maumivu makali sanaKwan daktari mwenyewe anasemaje
Tumia Misoprostol.Anasema zote ni nzuri japo ya kutumia vifaa ina maumivu makali sana
Ahsante sana mkuuTumia Misoprostol.
Sasa Misoprostol na kuwekewe gynaecology instrument kuna tofauti gani ...mnajua side effects za overdosed Misoprostol....ni fatal mzeeTumia Misoprostol.
Ahsante sanaZote ni njia salama endapo mtaalam mwenye ujuzi ata opt njia yake atumie maana kwa pande zote mbili iko hivi
Kwenye kusafisha inahitaji umakini mkubwa yani nikiwa namaanisha usafi wa vifaa (sterile instrument) kwa sababu unakua una introduce foreign device kwenye meili kama vitakua vichafu that means unakaribisha infection kwa mhusika na unaweza ndio ukafanikiwa kumsamfisha lakin ajiandae kwa Infection.
Njia ya video ni njia rahisi na ndio inayopendwa na walengwa yani wagonjwa kwa sababu hapa ni maelekezo atakazopata kutoka kwa mtaalam mwenye ujuzi ili aweze ku remove hizo unwanted products.vile vile shida imakuja kwamba kama atapewa maelekezo ambayo hayajajitosheleza au yasioeleweka kwa mlengwa basi ajiandae kwa severe side effects rather than been thought.
Kama kuna kitu nitakua nimemiss wataalam wataongezea.[emoji1666]
Ahsante mkuu...🤝
Kuna muda tiba inatokana na ninyi wenye tatizo na mifuko yenu ilivyo maana njia yenye maumivu inakuwa rahisi kuliko njia isiyo na maumivu inakuwa ghali.Tiba inatokana na jinsi daktari anavyomuona muhusika so huku mtandaoni ni km mitaani kila mtu atasema lake