Zote ni njia salama endapo mtaalam mwenye ujuzi ata opt njia yake atumie maana kwa pande zote mbili iko hivi
Kwenye kusafisha inahitaji umakini mkubwa yani nikiwa namaanisha usafi wa vifaa (sterile instrument) kwa sababu unakua una introduce foreign device kwenye meili kama vitakua vichafu that means unakaribisha infection kwa mhusika na unaweza ndio ukafanikiwa kumsamfisha lakin ajiandae kwa Infection.
Njia ya video ni njia rahisi na ndio inayopendwa na walengwa yani wagonjwa kwa sababu hapa ni maelekezo atakazopata kutoka kwa mtaalam mwenye ujuzi ili aweze ku remove hizo unwanted products.vile vile shida imakuja kwamba kama atapewa maelekezo ambayo hayajajitosheleza au yasioeleweka kwa mlengwa basi ajiandae kwa severe side effects rather than been thought.
Kama kuna kitu nitakua nimemiss wataalam wataongezea.[emoji1666]