Njia ipi ni bora na salama?

Njia ipi ni bora na salama?

Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
6,602
Reaction score
10,801
Habari za muda wana jamvi, nina ndugu yangu amepata miscarriage, ameenda hospital wamemwambia kuna njia mbili za kusafishwa

A. Kutumia vifaa vya kusafishia
B. Vidonge
 
Habari za muda wana jamvi, nina ndugu yangu amepata miscarriage, ameenda hospital wamemwambia kuna njia mbili za kusafishwa

A. Kutumia vifaa vya kusafishia
B. Vidonge
Kwanza poleni sana, dah aisee! Ikiwezekana bora atumie hivyo vidonge tu maana ile njia nyingine ina maumivu sana.
 
Zote ni njia salama endapo mtaalam mwenye ujuzi ata opt njia yake atumie maana kwa pande zote mbili iko hivi

Kwenye kusafisha inahitaji umakini mkubwa yani nikiwa namaanisha usafi wa vifaa (sterile instrument) kwa sababu unakua una introduce foreign device kwenye meili kama vitakua vichafu that means unakaribisha infection kwa mhusika na unaweza ndio ukafanikiwa kumsamfisha lakin ajiandae kwa Infection.

Njia ya vidonge ni njia rahisi na ndio inayopendwa na walengwa yani wagonjwa kwa sababu hapa ni maelekezo atakazopata kutoka kwa mtaalam mwenye ujuzi ili aweze ku remove hizo unwanted products.vile vile shida imakuja kwamba kama atapewa maelekezo ambayo hayajajitosheleza au yasioeleweka kwa mlengwa basi ajiandae kwa severe side effects rather than been thought.

Kama kuna kitu nitakua nimemiss wataalam wataongezea.[emoji1666][emoji120]
 
A. Kutumia vifaa vya kusafishia - ni ya uhakika endapo itafanywa na madaktari wazoefu na wenye utulivu na utu na wenye vifaa vilivyo katika ubora (ijapokuwa maumivu yake ni makali sana)
 
Zote ni njia salama endapo mtaalam mwenye ujuzi ata opt njia yake atumie maana kwa pande zote mbili iko hivi

Kwenye kusafisha inahitaji umakini mkubwa yani nikiwa namaanisha usafi wa vifaa (sterile instrument) kwa sababu unakua una introduce foreign device kwenye meili kama vitakua vichafu that means unakaribisha infection kwa mhusika na unaweza ndio ukafanikiwa kumsamfisha lakin ajiandae kwa Infection.

Njia ya video ni njia rahisi na ndio inayopendwa na walengwa yani wagonjwa kwa sababu hapa ni maelekezo atakazopata kutoka kwa mtaalam mwenye ujuzi ili aweze ku remove hizo unwanted products.vile vile shida imakuja kwamba kama atapewa maelekezo ambayo hayajajitosheleza au yasioeleweka kwa mlengwa basi ajiandae kwa severe side effects rather than been thought.

Kama kuna kitu nitakua nimemiss wataalam wataongezea.[emoji1666]
Ahsante sana
 
Back
Top Bottom