Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
📢📢Wananzengo mpo📢📢

Uzazi wa mpango wa asili

✨Kukwepesha

Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au kurembua kama anakata roho😂😂😂

✨Mbegu za mpapai

Tafuta mapapai kama sita... Toa mbegu zake.... Anika kivulini.... Zikikauka saga upate unga wake/uzile. Zinaweza kutunzwa kwenye kopo zikiwa kavu kwa siku 90.Ukiwa na kilo chini ya 71..... Tumia kwenye maji ya uvuguvugu kwa kipimo cha kijiko cha chai. Hautopata mimba ndani ya masaa 24.

✨Jivu ya mkaa au kuni

Yachekeche tia kwenye kopo....Jivu haliaribiki.... Weka kijiko kikubwa kimoja kwenye maji ya moto .... Kunywa lisaa kabla ya mchezo. Inadumu kwa masaa 24

✨kitambaa cha mwezi

Kwenye kopo lisiloonekana kilichomo ndani.... Weka kitambaa cha siku ya kwanza ya hedhi.... Funga na ficha sehemu unayoijua wewe tu.

Akikiona mtu kwa kufungua kopo una mimba, siku ukifungua ndio utashika mimba. Angalizo;kitambaa cha hedhi ni njia rahisi sana ya mtu kukufunga kizazi kichawi. Linda dawa yako

✨Mwiko wa ugali au wali

Ukivunjika ukiwa unapika.... (usivunje kwa makusudi).... Kata jiti vidogo kwa namba witiri 3,5,7,9.... Uvae kwenye shanga yako siku za hedhi.... Namba ya vijiti ndio miaka utakayofunga uzazi wako

Nb:angalia kilo zako na matumizi ya dawa.... 70 kijiko kimoja kutokana na maelezo ya dawa hapo juu .... 80 mpaka 90 viwili 90 mpaka 100 vitatu..... Tujiachie na njia zetu za asili
 
✨KITAMBAA CHA MWEZI
KWENYE KOPO LISILOONEKANA KILICHOMO NDANI.... WEKA KITAMBAA CHA SIKU YA KWANZA YA HEDHI.... FUNGA NA FICHA SEHEMU UNAYOIJUA WEWE TU.
AKIKIONA MTU KWA KUFUNGUA KOPO UNA MIMBA, SIKU UKIFUNGUA NDIO UTASHIKA MIMBA. ANGALIZO;KITAMBAA CHA HEDHI NI NJIA RAHISI SANA YA MTU KUKUFUNGA KIZAZI KICHAWI. LINDA DAWA YAKO

✨MWIKO WA UGALI AU WALI
UKIVUNJIKA UKIWA UNAPIKA.... (USIVUNJE KWA MAKUSUDI).... KATA JITI VIDOGO KWA NAMBA WITIRI 3,5,7,9.... UVAE KWENYE SHANGA YAKO SIKU ZA HEDHI.... NAMBA YA VIJITI NDIO MIAKA UTAKAYOFUNGA UZAZI WAKO
Kishirikina zaidi
 
✨MBEGU ZA MPAPAI
TAFUTA MAPAPAI KAMA SITA... TOA MBEGU ZAKE.... ANIKA KIVULINI.... ZIKIKAUKA SAGA UPATE UNGA WAKE/UZILE. ZINAWEZA KUTUNZWA KWENYE KOPO ZIKIWA KAVU KWA SIKU 90.UKIWA NA KILO CHINI YA 71..... TUMIA KWENYE MAJI YA UVUGUVUGU KWA KIPIMO CHA KIJIKO CHA CHAI. HAUTOPATA MIMBA NDANI YA MASAA 24.
Bujibuji wewe ni mkongwe humu inakuwaje unashindwa kuwa wazi atumie hiyo spoonful kwa kunywa au kupakaa
 
Unapingana na manifesto ya chama ya kufyatua watoto
Yalikuwa mawazo finyu ya mtu yule. Alikuwa anawalazimisha mafukara wazae sana eti watasoma bure, shule zenyewe hazina madawati, hazina vitabu, hazina maktaba, hazina maabara, na hazina walimu wenye viwango vya kutoa elimu bora
Zaa watoto hata buku kama una uwezo wa kuwahudumia.
 
Sina shida yeyote bro nina watoto 3 lakini nashangaa kwanini wengine wanakataa kuwa na watoto
kwa sababu the world is already saturated with the population imagine leo ni mwaka 2022 lakn ajira ni hadimu na biashara zishakua saturated with sellers sasa hao viumbe unawaleta dunian kufanya nn?
 
Yalikuwa mawazo finyu ya mtu yule. Alikuwa anawalazimisha mafukara wazae sana eti watasoma bure, shule zenyewe hazina madawati, hazina vitabu, hazina maktaba, hazina maabara, na hazina walimu wenye viwango vya kutoa elimu bora
Zaa watoto hata buku kama una uwezo wa kuwahudumia.

Soma post namba 21 kwenye hii thread kuna mtu alishaanza utekelezaji wa ilani

1660624876506.png

✨KITAMBAA CHA MWEZI
KWENYE KOPO LISILOONEKANA KILICHOMO NDANI.... WEKA KITAMBAA CHA SIKU YA KWANZA YA HEDHI.... FUNGA NA FICHA SEHEMU UNAYOIJUA WEWE TU.
AKIKIONA MTU KWA KUFUNGUA KOPO UNA MIMBA, SIKU UKIFUNGUA NDIO UTASHIKA MIMBA. ANGALIZO;KITAMBAA CHA HEDHI NI NJIA RAHISI SANA YA MTU KUKUFUNGA KIZAZI KICHAWI. LINDA DAWA YAKO
✨
Ahsante mtaalamu....kama sitaki kuzaa tena kwahiyo hiki kitambaa naweza kukitupa kusikojulikana???
 
Back
Top Bottom