Njia mbalimbali za asili za kudhibiti/ kukinga/ kuzuia mimba

This is a root of an Acacia specie, it is a contraceptive which was used by Africans in Ancient times.

It was chewed by women about once a week to prevent pregnancy. This method still works and there are no side effects.
Learn

IMG-20220818-WA0002.jpg
 
[emoji350][emoji350]Wananzengo mpo[emoji350][emoji350]

Uzazi wa mpango wa asili

[emoji92]Kukwepesha

Msome mtu wako, anapokaribia kufika kileleni... Msadie amwage nje ... Utamjua kwa joto lake la mwili, kukakamaa na yeye kufunga macho au kurembua kama anakata roho[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji92]Mbegu za mpapai

Tafuta mapapai kama sita... Toa mbegu zake.... Anika kivulini.... Zikikauka saga upate unga wake/uzile. Zinaweza kutunzwa kwenye kopo zikiwa kavu kwa siku 90.Ukiwa na kilo chini ya 71..... Tumia kwenye maji ya uvuguvugu kwa kipimo cha kijiko cha chai. Hautopata mimba ndani ya masaa 24.

[emoji92]Jivu ya mkaa au kuni

Yachekeche tia kwenye kopo....Jivu haliaribiki.... Weka kijiko kikubwa kimoja kwenye maji ya moto .... Kunywa lisaa kabla ya mchezo. Inadumu kwa masaa 24

[emoji92]kitambaa cha mwezi

Kwenye kopo lisiloonekana kilichomo ndani.... Weka kitambaa cha siku ya kwanza ya hedhi.... Funga na ficha sehemu unayoijua wewe tu.

Akikiona mtu kwa kufungua kopo una mimba, siku ukifungua ndio utashika mimba. Angalizo;kitambaa cha hedhi ni njia rahisi sana ya mtu kukufunga kizazi kichawi. Linda dawa yako

[emoji92]Mwiko wa ugali au wali

Ukivunjika ukiwa unapika.... (usivunje kwa makusudi).... Kata jiti vidogo kwa namba witiri 3,5,7,9.... Uvae kwenye shanga yako siku za hedhi.... Namba ya vijiti ndio miaka utakayofunga uzazi wako

Nb:angalia kilo zako na matumizi ya dawa.... 70 kijiko kimoja kutokana na maelezo ya dawa hapo juu .... 80 mpaka 90 viwili 90 mpaka 100 vitatu..... Tujiachie na njia zetu za asili
umetisha mzee....
 
Hiyo ya kitambaa cha kwanza cha hedhi ni serious mdogo wangu Bujibuji Simba Nyamaume ?
 
Kuweni makini na hizi njia you will perish without knowledge
 
Namchunguza kwa karibu demu wangu
 
Something fishy might be done in my family .

Eight years now no child with my lovely queen

All experiment i did no one had any problem [emoji24]
Unakula vyakula vya namna gani, wewe na mkeo?
 
Yaani sisi wengine tunatafuta watoto kumbe kuna wengine wanatafuta njia za kukosa watoto. Kweli akili ni nywele kila mtu na zake
Na wengine saa hii wanatoa mimba na wengine wapo majalalani wanatupa watoto..!! Hivyo shida zako si shida za wengine
 
Back
Top Bottom