Njia moja ya kutoboa maisha bila kuumiza kichwa au kuiba

Unazungumzia hawa vijana wanaokesha kubet, kunywa pombe, kusaka connection za video za ngono, kuwaza kula tunda kimasihara, kushinda instagram na Twitter kutafuta udaku?
Maana hao ndio vijana waliotuzunguka hapa mtaani.
Kweli hapo kuna tatizo,haya tuwatafute hao 98...
 
Project kama hizi zinawafaa watu wenye hizi sifa...
1. Walioajiriwa na kuwa na uhakika wa kupokea mshahara kila mwezi.
2. Watu wenye mlengo mmoja unaoshahabiana kimaisha au kiajira.
3. Watu wenye kufahamiana kikaribu katika ajira au utafutaji.

Kwa mfano.
Kundi la waalimu katika shule moja au mbili hivi zilizopo karibu karibu wakaungana kuufanya haya, kutumia mishahara yao....
Askari......
Madaktari......
Wauguzi......
Wahasimu......

Mpango wowote wa kipesa ukishajumuisha watu wengi na ukiwa wa muda mrefu, huwa na changamoto nyingi mnoo. Mambo mengine ni bora kufanya wewe mwenyewe tu, hata kama kwa udogo ili kupata mafanikio.
 
Tuelewane Kwanza hao vijana 100 ni watanzania au wanatoka nchi gani?.

Kama utapata wajapani hapo sawa ila siyo vijana hawa wa samia akina Lucas mwashambwa
 
Kaylinda, Qnet Covax kuna wajinga watapigwa hapa.

Mungu saidia hii thread wasiione walimu[emoji853]
 
Kwani mikopo ya halmashauri ilifikaga wapi kweli?!
 
Kaylinda, Qnet Covax kuna wajinga watapigwa hapa.

Mungu saidia hii thread wasiione walimu[emoji853]
Mkuu mimi niondowe katika hayo makundi mimi nineleta andiko watu wajadili, sina nia ya kuongoza kundi lolote hapa
 
Kwa maisha gani haya ya bongo ukiwa na kaakiba tu na simu hizo kama zote kutoka kwa ndugu..
 
Tuanzie hapa


50000 kwa siku (sawa)

50000 * 100 ( hapa sasa )
Hiyo 100 ndio kitu gani!!?

Hata uweke 50 kila siku kwa mwezi mzima haiwezi kufikia mara 100 maana mwezi una siku 30 tu tena toa jmos na jpili
 
Acha kudanganya watu, huwezi pata pesa kizembe hivo.
 
Hivi drama zote hizi za utapeli wa namna hii zinazoendelea kuna watu wanaendelea kudanganyika kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…