Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,468
- 1,063
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi mbalimbali kama madereva, vijana wa mashambani, wasaidizi wa migahwani na mahotelini, walinzi, wasaidizi wa madukani au supermarket, waendesha mitambo, etc.
Kwa hali ilivyo sasa ni kwamba kazi au mfanyakazi vinapatikana kwa connections, swala ambalo ni changamoto kwa wasiokuwa na hizo connections au wanaotaka usumbufu wa connections wakiwemo madalali..
Huduma hii ni bure kwa sasa, tunaendelea kuiboresha.
Karibuni sana