Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Tatizo lako umesoma na hujawahi kufanyia kazi. Na ndio maana nimesema kuwa si rahisi na inahitaji bidii. Halafu unaposema una degree ya Metaphysics na Meditation una maanisha nini? Meditation is not all about learning its about practice.
Ungekuwa unajua Relationship btw Lucid dreaming na OBE hapa tungekuwa tunaongea. Ona sasa umeanza kuleta imani za kichawi hapa.
Na pia usitishe watu, kama wewe ulishindwa waache wengine wajaribu, sio kuwakatisha tamaa kwa kusema umesomea hayo mambo.
Wewe unachopitia ni majinamizi na ushirikina tu na huwezi kukwepa kuwa unapitia mazingira ya uchawi tu na ndoto mbaya
1 ....kwa anayejua Metaphysics anaelewa. Metaphysics is the backborne of meditation.......
2 - Tafuta mtu wa meditation akufundishe ndipo utajua there is no way you can be an expert in meditation bila kustudy metaphysics-the philosophical study of mind, brain, spirit and universal knowledge. Tembelea hata kwa wataalamu wa yoga dar watakwambia haya ninayokueleza.
3 - Every good meditator knows metaohysics. Hujui metaphsyics kwa sababu unasoma tu kwenye internet na kuja kumwaga hapa kwa kulinganisha na uswahili unaoupitia usiku ndotoni. Hiyo unayoipitia wengi tumeipitia and it is all satanism it has nothing to do will meditation.
4 - Kukuthibitishia nilichokwambia wewe inakutokea ukiwa usingizini. Meditation si kulala usingizi, you have to be aware physically and mentally. Na haitokei tu, kama hizo ndoto zako zinavyokutokea....you have to initiate the process. And the process is not easy na so short kama unavyosema as it involves closing all the human body senses, mind and human pysical spirit and let the deeper inner spirit to take cintrol of you.
Bisha kwa sababu umeamua kubisha kwa sababu ya uelewa finyu ulionao juu ya masuala haya