Njia ni Nyembamba na Mlango ni Mwembamba, Waingiao ni wachache (Spirit Science)

hakuna dini tatizo lako ni ukomo na ufinyu wako wa kuwaza unashindwa hata kujua kuwa neno meditation kwa kiswahili kutafakari...ubongo wako mzito mno. Acha kukurupukia vitu usivyo na uwezo navyo kiakili.

Labda kukusaidi mtu wa dini anaamini katika kitu kinachoitwa Mungu.
A meditator and metaphysician believe in 'organizing forces'

Bad teacher!
You are so arrogant! Huwezi kutumia lugha ambayo sio ya kumshambulia mwingine?
Haya basi wewe unajua Yooote na unajua vyote ila mwache ajaribu kuelezea anachotaka kuelewa.
Naona unakoroga tu.Kumbuka kuna audience.
 
Habari mkuu.

Nimelike alichokieongea kwani alikuwa anamuelimisha mtu kiusahihi, kwani aliyekuwa anaelimishwa alikuwa anazungumzia kitu ambacho hakipo kabisa.

Pia labda ningependa kukuambia kuwa, katika hiyo comment yake hajakosea chochote. Kumeditate alikokuwa anakuzungumzia sio huko kwa maana ya kamusi. Wengine hutumia neno Taamuli kumaanisha meditation ya tendo. Ukifuatilia meditation maana yake kwa kiswahili haijakaa vyema kwani kutafakari sio meditation na maana zilizopo tayari zina maana ambazo ni tofauti na meditation. Kutafakari ni nje kabisa ya meditation. Meditation ni zaidi ya kutafakari.

Asante, Ningependekeza ujaribu kuelewa point ya mtu katika upande wake kwanza ndipo utazame upande wako umeelewa nini na sio kuelewa mtazamo wa mwenzako kwa upande unaotaka wewe.

Umemjibu vyema. Kwanza umuelewe mtu anamaanisha nini kwa upande wake ndipo utazame upande wako. Pia lazima ujue kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha.
 
Mkuu Annael, Hapo mwanzo nilikuwa nikilala mwili ulikuwa ukipata ganzi na kuvibrate nilikuwa naogopa sana, nilikuwa sijui kama kuna kitu kinaitwa OBE.
Lakini katika kupitiapitia jf nikakutana na post moja inayohusu astral projection.
Hapo uoga ulipungua na nikawa na uwezo wa kuicontrol ile hali na hadi wiki iliyopita, nimekuwa na uwezo wa kutoka nje ya mwili na kujiona vizuri.
Sasa naomba niulize kuwa;
1-Nifanyeje ili niweze kwenda mbali zaidi na kukutana na watu mbalimbali? Na je hao watu ni akina nani?
2- Na pia siwezi kudhurika??

Naomba msaada wako kwa kuwa hii hali kwa sasa inanitatiza na nina maswali mengi kichwani!!
Ahsante _@

Wewe umekuwa shahidi mwaminifu :thumbup:
 
hahahahaha nimejifunza k2 ktk hili la kutoka nje ya mwili,kumbe kuna njia rahisi za kujiua haina haja ya kujiumiza na vtanz kwa wale wanaohisi wamechoka kuishi.by just performing astral projection.
 
Asikwambie mtu yaani ukiwa nje ya mwili unapata raha ya ajabu!!
1-Unakuwa na uwezo wa kupaa na kwenda popote hadi mwezini ukipenda!!
2-Unakuwa na uwezo wa kupenetrate popote pale(hakuna kinachokuzuia)
Pia unakuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi saana, mimi vingine sivijui!!!
Mimi mara ya kwanza nilitamani nisiamke!!!!
 
Najaribu sana but ngumu jamany
 
niliishia kuogopa nkarud mapema xana ila we tamani usiamke hvy hvy halafu uje kuamshwa silver cord ikatike mana wataalam wanaxema sc ikikatika there is no connection btn mwl uliouacha na uliotoka,hence KIFO..
 
Hee!! Kumbe huwa nacheza na moto??
Maana mara ya mwisho nilipokuwa nje ya mwili mdogo wangu alianza kuniamsha na kule nilipokuwa wakati huo niliisikia sauti yake ikiniita japo kwa mwangwi,wazo lilinijia kuwa inatakiwa nirudi na niliporudi nilikuta ananitikisa!!!!!
Duuuh!! Nilikuwa sijui kama silver c inaweza kukatika kirahisi hivo!!!
 
Amekudamganya
 
Amekudamganya

hahahahaha xo me nimeongopa(lbd ni ufaham wang mdg kuhusu hii issue)?..nisaidie hapa mkuu. unaweza kuwa salama hata baada ya kusukumwa na kuchange position? kwan hata ukxogea 1mm inacost..silver cord inaweza kukatka na matokeo yake ni nn? na kama inakatika ni kwa njia zipi?
 
Ndugu yangu ni kuogopesana tu. Hakuna cha kufa wala nini. Mimi uwa ninafanya mara kwa mara mbona nipo tu hai!!. Woga ndio unaowafanya watu wasindwe. Inatakiwa uanze hatua kwa hatua na kitu kikubwa ni kujifunza taratibu na kuelewa.

Kitu kinacho wachanganya watu baada ya kuona kuna mtu mwingine. Lakini kama umeshaelezwa hakika hautaogopa. Utakapokuwa kwenye ulimwengu wa roho kitu kikubwa ni kujiamini basi. Hakuna kitu chochote kitakacho kuathili.
Je hii biashara inaongeza kipato ama ni starehe tu?
 
hahahahaha xo me nimeongopa(lbd ni ufaham wang mdg kuhusu hii issue)?..nisaidie hapa mkuu. unaweza kuwa salama hata baada ya kusukumwa na kuchange position? kwan hata ukxogea 1mm inacost..silver cord inaweza kukatka na matokeo yake ni nn? na kama inakatika ni kwa njia zipi?

Nakataa kwa sababu kuna rafikiangu aliniambia jinsi alivyotoka nje ya mwili akiwa shambani na aliporudi akakuta amesogezwa huku wakimpepea wakisema amezimia. Sasa hapo ungekuta ni kweli siangekufa kutokana na kusogezwa?
 
Kuna aina nyingi uchawi duniani utokao baba yao shetani.
Jihadhari elimu hii iliyo kinyume elimu ya mungu wa kweli.
 
Dangers of Astral Projection
Much like lucid dreaming, gaining the ability to astral project can open up opportunities for adventure, personal insight and mental exploration. However, if you’re new to the idea of astral travel, it’s good to seek out more information on the dangers of astral projection. While most astral projections I’ve read about were positive experiences, there are also anecdotes from people who have had frightening astral projection experiences. In the article below, I’ll try to describe some of the potential dangers of astral projection and the different methods of astral projection protection that you can take to deal with these dangers if you decide to try astral projection.
One of the first things people ask is, can you die from astral projection? People who practice astral projection claim that a “silver cord” connects the astral body to the physical one, which has given rise to the idea that the physical body will die if this silver cord is severed. First of all, astral travel practitioners generally agree that it is not possible to sever the silver cord. Generally speaking, nothing you can do while astral will harm your physical body, and because the astral body is immaterial, it can’t be physically harmed. That said, your body can still experience physical harm while you’re astral, so it’s always important to choose a safe, private space like your bedroom for your astral projection experiments. If you wouldn’t feel comfortable going to sleep in a park at night, don’t use it as a space for astral projection As long as you are sleeping in a safe space, though, the known astral projection dangers do not include death.
Another danger of astral projection is that people have reported having difficulty breathing at the onset of astral projection, especially as they’re starting to float upwards or just after they’ve left their bodies. This might be a side effect of sleep paralysis , as your brain tries to process the sensations of leaving your body. Breathing through your nose can speed up the process of separation, and so can maintaining a calm intention to complete your astral projection. Especially the first time you manage it, such astral projection side effects can be alarming. Fear can interfere with your breathing and make it that much harder to separate from your body. It’s a lot easier to fall back into your body from a projected state than to leave it; if your body is in any physical distress or danger, most likely you’ll reenter it immediately.
However, what if something has gotten there before you? The fear of possession is one of the perceived dangers of astral projection that is most likely to make people leery to try it. If you astral project, you’ll probably emerge on one of the lower planes: many practitioners claim this plane is home to what have been variously called demons or malevolent spirits, which can take over your body when you’re away. While I’ve never heard or read about an instance of actual possession, it’s probably prudent to take steps to protect yourself against any hostile-seeming entities you may encounter in the astral state. Some precautions include imagining a white or golden light around your astral body, calling on protective spirits, angels or guides to help you,or even saying a prayer to banish hostile entities. You can usually tell if a presence or spirit is malevolent by its aura, which may be dark, muddled, or simply give you a ‘bad vibe’. It’s up to you to interact with these entities or not; according to astral projection lore, they can’t harm or possess you unless you invite them to do so.
For astral projection newbies, another of the dangers of astral travel that can be of concern is not being able to return to your body after an astral journey. All the accounts I’ve read agree that it is not possible to become permanently lost from your body. While astral, it usually takes no more effort than thinking about your physical body for you to rush back into it. This is because you are highly suggestive to mental suggestion while in an astral state: if you want to travel somewhere, it usually takes no more effort than imagining where you want to go. If you think about your physical body, you’ll find yourself back in it. Keeping separate from your physical body is what takes mental focus and concentration. So, I wouldn’t include ‘losing’ your body among potential astral traveling dangers.
Like the phenomenon of astral projection itself, I’m not going to debate whether astral projection involves actual travel to a different plane or if, instead, it is a type of lucid dream. The reality is that some people have had frightening experiences during astral projection and have explained them as encounters with malevolent entities or troubles associated with leaving or getting back to their physical bodies. Whether astral projection is a mental or a metaphysical journey, making your mind a calm and safe place is a good way to mitigate or avoid a scary astral projection experience. Remember that you have the ability to shape your astral journey and surround yourself with protective and nurturing energy, and you will be able to have an experience that is enriching rather than frightening.
 
Copy and paste 🙂
 
nahitaji elimu hii. serious ndo naskia leo hiki kitu natamani sana
 
Back
Top Bottom