Hivi freemason nao si wanameditate or yao sio kama hii yako?
mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?meditation is the key to spiritual world....freemansons wanameditate sana hata watu wasio freemasons wanadeditate pia lakini wanapofanya hivyo wao wanakuwa katika utulive na kumtafakari Mungu na uzuri wake in deep..
Jamaa huyu nimemwambia aache kuleta mambo ya dini na aelezee vitu katika free mind. Meditation sio kutafakari. Ukiwa unatafakari unatumia akili. Na akili ipo katika mwili haipo katika roho wala nafsi.mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?
Nadhani ndugu yangu upo nje ya key. Meditation sio kutafakari. Hapo unataka kupotosha watu waanze kukomaa kutafakari. Meditation is a spiritual thing, kutafakari ni mambo ya akili na akili ni part ya mwili sio part ya roho au nafsi.meditation is the key to spiritual world....freemansons wanameditate sana hata watu wasio freemasons wanadeditate pia lakini wanapofanya hivyo wao wanakuwa katika utulive na kumtafakari Mungu na uzuri wake in deep..
Nadhani ndugu yangu upo nje ya key. Meditation sio kutafakari. Hapo unataka kupotosha watu waanze kukomaa kutafakari. Meditation is a spiritual thing, kutafakari ni mambo ya akili na akili ni part ya mwili sio part ya roho au nafsi.
Ningekuomba usipotoshe watu. Ingefaa ukaelezea mambo ya dini yako tu na sio kujifanya unajua kitu ambacho hukijui.
mungu yupi mkuu.....na hao wengine wakiwawanameditate huwa wanatafakari nan?
Jamaa huyu nimemwambia aache kuleta mambo ya dini na aelezee vitu katika free mind. Meditation sio kutafakari. Ukiwa unatafakari unatumia akili. Na akili ipo katika mwili haipo katika roho wala nafsi.
Tatizo lako hujui, na hujui kama hujui. Hakuna tafsiri ya moja kwa moja ya neno meditation kwenye Lugha ya kiswahili. Halafu hapa unatafsiri neno huelezei maana ya tukio. Neno contemplation siyo synonyms ya neno Meditatiion.Naona mpaka Apollo amelike ujinga wako
Nadhani umefikia ukomo wa kufikiri
tafakari kwa kiingereza ni meditate. Au unakataa kuwa chakula siyo food? tafuta dictionary uona maana ya neno meditate.
Kwa kukusaidia hii nimeitoa TUKI.
meditate vt,vi 1 taamali, tafakari, zingatia. 2 ~ (up) (intend) azimu. meditation n taamuli, tafakuri, mazingatio. meditative adj -a mazingatio. meditatively adv.
NB: Acha kupost vitu usivyovijua
Tatizo lako ndugu umelegea sana kati uwezo wako. Hata kutumia akili za kibinadamu tu inakuwa ngumu.hakuna dini tatizo lako ni ukomo na ufinyu wako wa kuwaza unashindwa hata kujua kuwa neno meditation kwa kiswahili kutafakari...ubongo wako mzito mno. Acha kukurupukia vitu usivyo na uwezo navyo kiakili.
Labda kukusaidi mtu wa dini anaamini katika kitu kinachoitwa Mungu.
A meditator and metaphysician believe in 'organizing forces'
Naona mpaka Apollo amelike ujinga wako
Nadhani umefikia ukomo wa kufikiri
tafakari kwa kiingereza ni meditate. Au unakataa kuwa chakula siyo food? tafuta dictionary uona maana ya neno meditate.
Kwa kukusaidia hii nimeitoa TUKI.
meditate vt,vi 1 taamali, tafakari, zingatia. 2 ~ (up) (intend) azimu. meditation n taamuli, tafakuri, mazingatio. meditative adj -a mazingatio. meditatively adv.
NB: Acha kupost vitu usivyovijua
Tatizo lako ndugu umelegea sana kati uwezo wako. Hata kutumia akili za kibinadamu tu inakuwa ngumu.
Moja tafsiri ya kitu ni kutokana na matumizi yake katika eneo husika. Tatizo wewe umejikita katika Lugha na umeshindwa kabisa kuelewa content ya kitu tunachokiongelea. Ndio maana unaleta mambo ya imani huku ukiwa nje kabisa ya mada.
Hebu jaribu kutulia na kuacha kujifanya mjuaji wakati hujui. Wewe umekomalia definitions za vitu wakati hata metaphysics yenyewe huijui, Dark energy science hujui. Hata philosophy kidogo basi changanya.
Tulia upate somo uelewe na uweze kujitambua upate mwanga bora.
Ndugu ukianza kuleta maswala ya dini yako hapa uapotea njia. Kuna dini nyingi sana duniani. Zingine zina mungu zaidi ya mia.Unajaribu kusema nini? Unajaribu kushawishi nini?? Neno la Mungu ukiliendea kwa akili na uwezo wa kibinadamu utalikosa. Kumbuka imeandikwa maarifa ya kimungu ni upumbavu kwa mwanadamu vivyo hivyo akili ya mwanadamu ni upumbavu mbele za Mungu. Unajaribu sana kutumia akili yako kumpata Mungu na hujui umeshamkosa kirahisi sana.
God is state consciousness level. Kama utakuja kufahamu kuwa God is within you and God is you. Ndipo utakaponielewa nina maanisha nini.
Uungu ni hali, sio kitu. Unaweza ukatumia nguvu yako ya uungu iliyomo ndani yako. Utakapo anza kuangaziwa na kuipata nuru ndipo utakapojua Mungu maana yake ni nini.
Huwezi kushut down isipokuwa you control all the body chacro points (except the heart) That is why before meditation you do a bit of fasting kwa sababu chacro points ni energy centers. When you fast you are able to control them kwa sababu energy inakuwa ndogo. Ndiyo sababu hata katika maombi ya kawaida watu wanashauriwa kufunga bila kula wala kunywa kwa muda fulani....it is the same philosophy.
Asante mkuu kwa somo lako na ushuhuda wako.Kuna connection kati ya mwili na ulimwengu wa roho. Kwa hiyo hali hiyo ikiwa inatokea ubongo utakuwa umeuandaa mwili katika hali ya kutulia. Huwezi ukapooza kamwe na kitu hiki ni kizuri sana itakapogundua kuwa kumbe inawezekana hata kwenda sehemu tofauti tofauti ulimwenguni katika ulimwengu wa roho.
Hii elimu imefichwa na wengi hawataki wengine waijue. Usiogope, chukua hutua, haukuna kitu kibaya chochote, mtu awe yeyote asikutishe maana unawasiliana na nafsi/roho yako (God is within you)
Ndio unaweza kukumbuka. Na hiyo ndio tunayoiita hatua kuelekea katika kujitambua wewe nani.Asante mkuu kwa somo lako na ushuhuda wako.
Swali langu ni kwamba pale unapouacha mwili na kwenda katika ulimwengu mwingine kabisa na kukutana na viumbe wengine, unapourudia mwili wako unaweza kuyakumbuka matukio uliyokutana nayo katika ulimwengu wa roho?