Njia nyepesi kumtambua jini

Njia nyepesi kumtambua jini

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Hakuna mbambamba let's go directly on point
Kumtambua jini haraka hizi hapa

1.chek mikono
2.cheki mguu
3.cheki kiini Cha macho
Sasa nataka like 100 nichambue kimoja baada ya kingine Kama Kuna mtu anazijua ruksa leta nondo hapo chini Mimi mpakq nipate like 100 ndio nitaleta
 
Mimi huwa najiulizaga hivi mqoundou unakataje marvey bila kutumia makali ama vitu vyenye ncha kali kama kisu?

Faking amazing!
 
Hakuna mbambamba let's go directly on point
Kumtambua jini haraka hizi hapa

1.chek mikono
2.cheki mguu
3.cheki kiini Cha macho
Sasa nataka like 100 nichambue kimoja baada ya kingine Kama Kuna mtu anazijua ruksa leta nondo hapo chini Mimi mpakq nipate like 100 ndio nitaleta
Jini haonekani kwa jicho la kininaadam
 
Write your reply...ndgu jini yupo kama binadamu wengine,hzo za kusema ana kwato mara macho yake hayachezi n stori tu za vijiweni.njia kuu ya kumtambua jini ni kioo na njia ya pili matendo yasiyo ya kawaida ya mwanadamu .
 
Kioo kivipi
 
Back
Top Bottom