Njia nyepesi kumtambua jini

Jini diamond platnamzs
Jini gigy money
Jini zuchu
Jini mboso

Endeleeni kutaja majini wengine
 
Write your reply...kioo hiki hiki cha kujiangalizia unafanya hv,mara nyingi jini kama yuko mita hamsini anakuja usawa wako uwa wanakuwa na pafyumu kali sana inanukia kabla hata hajakufikia .sasa unaweka kioo hata kuegemeza sehemu ambayo unajua atapita mbele ya kioo,akiona kioo hapiti atageuza njia .kioo kinaonesha umbo halisi la jini.
 
We shusha nondo bhana habari za kuomba like ndio umekosea...kumbuka utapingwa na majini usitoe siri zao..toboa siri mjomba
 

Law of reflection inawakataa sio [emoji28]?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…