Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Njia nyepesi kwa CHADEMA ni kuomba radhi Watanzania, nothing else

Walidhani Samia ni sawa na wale wake zao majumbani. Aliwaminya wakaminyika kisawasawa. Walitarajia mauwaji yale yatageuka mtaji wao kisiasa; wameangukia patupu. Yaani wamejambia kwenye kibuyu ushuzi haukusambaa kama walivyotaka wao, hakuna aliyetema mate kwa harufu ya ushuzi wao. Waliwafanya chambo watoto wa watu huku watoto wao wakiwa sehemu salama kabisa. Wazazi wetu ni mazuzu kabisa kuwaacha watoto wao wageuzwe chambo na wahuni. Vijana waliokamatwa wakiulizwa kwanini mlichoma nchi yenu hawana cha kujibu zaidi ya kutekeleza maagizo. Ndio maana Samia aliwaachia huru.
Kero kubwa zaidi ni pale Heche alipoongea na vyombo vya habari halafu akasema lengo lao serikali hii iachie madaraka kwa lengo la nchi kupewa wazungu fulani wa EU, pale alichemka vibaya sana.

Hakuheshimu namna mababu zetu walivyouliwa na wazungu hao hao kule Kigoma, Tabora, Bagamoyo na Mtwara kwa sababu ya kuupinga ukoloni wa Wajerumani na Waingereza leo hii mwanasiasa chawa wao anaongea mbele ya kipaza sauti na kamera akisema anataka wazungu hao hao eti warudi watutawale!.

Hawa wameingia choo cha kike tena wamekikuta kikiwa kimejaa uchafu, wapuuzi kupita maelezo.
 
Bila No reforms no election mtoto kama huyu asingepatwa na haya. Lissu, Lema, Heche walianza kwa kuziondosha familia zao kwanza ndio wakaja na no reforms no election. Hata hivyo, hakuna ushahidi kuwa huyo mtoto ni Tanzania na sehemu gani ya nchi.
Wewe zezeta unaelewa nini kuhusu neno "NO REFORMS NO ELECTION" ?

Unaposema Lissu , Heche, Lema waliondosha familia zao , wakiwa wapi?

Wewe hakika ni zezeta hivi huna habari tarehe hizo Lissu na Heche walikua gerezani?

Lema akawa amewekwa house arrest.
Hata mtoto Aquilina alikufaga hivihivi kwenye maandamano haramu ya chadema.
Akwilina alipigwa risasi na polisi , CHADEMA ndio walikua na hiyo bunduki iliyofyatua risasi??

Kikatiba hakuna kitu kinachoitwa maandamano haramu, kama kipo nipe hicho kifungu.
Wazazi na vijana kutukeni, chadema wanawatumia nyie kama ngao yao, chambo na mtaji wao wa kwenda Ikulu. Mauaji kama haya ya Okt 29 yanatumika kuhalalisha wao na familia zao kuendelea kupata haki ya ukimbizi na mafao ya ukimbizi huko waliko.
Zezeta wewe , nipe picha moja ya kiongozi wa CHADEMA akiwa na bunduki mitaani akiua watu.
 
Eti wewe nae ni miongon mwa watu wenye akili timamu aaahaaahaa. Ilaaniwe ccm na wafuasi wake wote laana na dhiki kuu iwafuatie daima.
 
Hujafanya home yako vizuri, unafiriki kwa kutumia moyo badala ya ubongo. Tanzania sio kisiwa, kama kuindoa CCM ndio njia ya kuelekea maendeleo bora kuliko tulivyo sasa basi tungeuona mgfano huo kutoka katika nchi za Afrika ambazo wapinzani wameviangusha vyama vyao vya ukombozi kama CCM. Narudia tena na tena na tena kuwa tatizo letu mama sio CCM. Hata ukiiondoa CCM utapata tu kundi lingine la kututawala wakati hali yetu itabaki ileile na vilevile au kurudi nyuma zaidi ya hapa tulipo. Kama taifa na kama bara la Afrika lazima tutafute kwa pamoja namna ya:
1. Kuwanyonga viongozi na watu wote wanaotuibia kodi na rasilimali zetu
2. Kila mtu afanyekazi na alipe kodi.
3. Kutafuta mitaji na teknolojia ya kuzivuna rasilimali zetu sisi wenyewe.
4. Kutatua tatizo la masoko huru kwa bidhaa zetu
5. Kukwepa mafuko ya kifedha ya WB na IMF ambayo yanatukopesha kwamasharti magumu na riba kubwa.
6. Tubane matumizi kila sehemu ili tukaribie kwenye kujitegemea.
7. Tuongezee thamani mazao yetu yote badala ya kuyauza yakiwa ghafi
8. Tuongeze mishahara kwa watumishi na malipo mengine ili kuongeza uwezo wetu wa kununua bidhaa zetu wenyewe na kulipa kodi kubwa ya mapato. Mabeberu wanaijua hii siri ndiyo maana wako tayari kukusimamia ili ulipe wafanyakazi wako viwango vidogo sana. Kuwalipa watumishi wako viwango vidogo vinawasaidia mabeberu a) wao kupata urahisi wa kuja kuwekeza kwenye nchi yenu kwa gharama ndogo sana, b) watu wenu watashindwa kununua mazao yenu yote hivyo utalazimika ku export kwa wingi, c) Ujira mdogo kwenu utawafanya watu wako waende kufanyakazi kwao kama cheap labors.
....ili wanunue silaha za kutuua, walipane posho kubwa kubwa, waishi kwa anasa...

Dawa ni moja tu!
Kuwapimia kipimo kile kile wanachotupimia. Wauawe kwa sababu wameua na wanaendelea kuua.

CCM ni kansa hivyo lazima ikatiliwe mbali
 
Watanzania sio wajinga, wanajua kuwa chadema ndio waliharibu mali, maisha na utaratibu wao mzima siku ya na baada ya uchaguzi. Wananchi sio wajinga wa kushindwa kujua kwamba no reforms no election ya chadema ndio chanzo cha wapendwa wao kufa, kuumia na mali zao kuharibiwa. Watanzania wa leo wanafahamu kuwa mali iliyoharibiwa haikuwa ya Samia wala CCM bali ni mali yao watanzania inayowafaa watanzania na iliyotokana na kodi na nguvu zao.

Watanzania leo hii wanaziita vurugu zile kwa jina "vurugu za chadema". Mfano, niliwasikia wananchi wa Gongolamboto wanaohangaika kutafuta wapi ofisi zao za serikali za mtaa na Kata zilihamishiwa kwa sasa baada ya kuchomwa pale gongolamboto wakisema "baada ya vurugu za chadema ofisi za kata na kanda 5 zilihamishiwa Chanika kwenye kona ya Kigogo fresh". Kule Mbagala baada ya usafiri wa mwendokasi kusimama muda mfupi tu baada ya kuanza walikuwa wanalia na vurugu za chadema kurejesha adha ya usafiri Mbagala.

Chadema hata watoe maelezo gani kutaka kujitenga na zile vurugu wananchi hawatawaelewa kabisa. Wanajua chadema waliharibu mali zao, imeharibu ajira zao, imeharibu huduma zao na iliharibu mazoea yao.

Kwa watanzania, chadema sio ile tena wanayoifahamu bali watu hatari kwao. Hebu wajaribu kuitisha mkutano wa hadhara leo ili waone mwiitikio wa wananchi, hasa pale ambapo polisi watasema mkutano hauna kibali.

Hata nchi na taasisi za kimataifa zinajua kuwa chadema ndio waliofanya vurugu zile. Taasisi na jumuiya za kimataifa zina taarifa kamili kuwa chadema walichoma mali za umma na za wawekezaji binafsi utamaduni ambao hata wao hawakubaliani nao pia kwakuwa nchi hizo zinawekeza tanzania pia pamoja na watu wao. Hivyo, utamaduni wa kuiba na kuchoma mali za wawekezaji wanaona utakuja kuwagharimu hata wao wenyewe. Jumuiya na taasisi za kimataifa zinazo taarifa kamili kuwa waandamaji waliua askari wanaolinda watu na mali zao utamadunia ambao hata wao hawaukubali kwakuwa hata wao wana mali na watu wao ambao wanahitaji kulindwa na walinzi hao. Ndiyo maana malalamiko yao hayapewi attention ya kutosha, kwakuwa chadema wamefanya vitendo vya kigaidi achacho sio tu kinawaathili wenyeji lakini hata wageni pia.

Dunia nzima sasa hivi inakumbatia dialogue (kiti na meza) sio mapigano.

Chadema waombe radhi wananchi kwa kile kilichotokea la sivyo, hawana njia nyingine.
Asilimia 90 ya watz wapo na imani na chadema, sasa waombe radhi kwa lipi?
 
Tanzania ni mali ya watu 65m, hivyo katiba na sheria zinawahusu watu wote 65m. Kati ya hawa ni wangapi wana malalamiko ya Katiba na sheria zetu?. Na je hao wenye malalamiko inatosha kuunguza miundombinu ya watu wote 65m?. Yaani kuunguza nyumba yenu ya familia ya watu 15 kwasababu tu baba yenu alikunyima wewe haki yako ya kwenda disco usiku ni sawa? Ni kweli kucheza disco wewe ni haki yako lakini inatosha wewe kuichoma nyumba yenu kwakuwa umekatazwa kwenda? Sisi watu wa Mbagala bado tunajiuliza kwanini mwendokasi wetu uliharibiwa na chadema kwasababu ya uchaguzi na Katiba?. Tunaona ni kama vile kulikuwa na mengine kuliko uchaguzi na Katiba.

Hakuna Rais duniani ambae hatatumia vyombo vya dola kulinda dola na mamlaka yake

View: https://www.youtube.com/live/7LbjQiUF21k?si=LQsX7aGCRnXoOX30

Walileta uhuni wa kuiga huko Madagascar na Sri Lanka wakamtazama Rais kutwa anavaa hijabu wakajua hapa hapa tunaweza kuiharibu TZ, cha moto walichokutana nacho hawawezi tena kurudia ule upumbavu walioufanya.
 
Back
Top Bottom