kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #101
Tanzania ni mali ya watu 65m, hivyo katiba na sheria zinawahusu watu wote 65m. Kati ya hawa ni wangapi wana malalamiko ya Katiba na sheria zetu?. Na je hao wenye malalamiko inatosha kuunguza miundombinu ya watu wote 65m?. Yaani kuunguza nyumba yenu ya familia ya watu 15 kwasababu tu baba yenu alikunyima wewe haki yako ya kwenda disco usiku ni sawa? Ni kweli kucheza disco wewe ni haki yako lakini inatosha wewe kuichoma nyumba yenu kwakuwa umekatazwa kwenda? Sisi watu wa Mbagala bado tunajiuliza kwanini mwendokasi wetu uliharibiwa na chadema kwasababu ya uchaguzi na Katiba?. Tunaona ni kama vile kulikuwa na mengine kuliko uchaguzi na Katiba.Ukiwa mkweli, bila kutetea njaa, hebu tuambieni, madai yao katika mabadaliko ya sheria ya uchaguzi wanayodai ni ya haki au umeridhika na hii iliyopo. ?
Hakuna Rais duniani ambae hatatumia vyombo vya dola kulinda dola na mamlaka yake
View: https://www.youtube.com/live/7LbjQiUF21k?si=LQsX7aGCRnXoOX30