Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Remotasks
I love being online na hilo limenifanya niwe natafuta njia kadhaa za kumake money while I am online, na leo ninawaletea hii tovuti Remotasks.
Hii tovuti inahusika na mambo ya kusoma na kuenhance data ili kufanya AI bora Zaidi. Mfano machine za kusoma receipt, menu, magari yanayojiendesha na kadhalika.
Kuna tasks kibao unazoweza fanya na wanalipa kwa njia ya paypal. Lakini tasks zinazolipa Zaidi ni zile za kuchakata data zilizokuwa captured na self-driven cars.
Kufanya hizi tasks unahitaji uwe na computer nzuri kidogo, bundle la kutosha na uwe na internet nzuri.
PC kuanzia GB 4 iwe na graphic card nzuri sana na ram kuanzia 4GB maana itadeal Zaidi na 3D modelling, ambapo itakuonyesha video za pande zote za gari ikiwa barabarani na objects inazopisha nazo, pia itakuonyesha LiDAR view maana magari yanayojiendesha yanatumia hii technology ya kutumia laser light kudetermine distance na shape ya object.
Sasa utapewa data ambazo gari imenasa computer na software ya gari ikazitafsiri, sasa wewe utatafuta penye makossa urekebishe hivyo hizo data zitasaidia kuifanya system iwe bora Zaidi. Utafanya kitu kinaitwa LiDAR annotion.
Jambo linguine ni kwamba lazima usome course zao upewe quiz upate 100% ndipo utaweza kupewa task.
Wanaofanya hizo kazi wako wengi hadi kuna form kama ukiwa na task hujaelewa unaweza kuuliza kwa members.
Malipo ni once per week via paypal.
Wanashauri ufanye walau 20 hours per week na malipo yanategemea na ukubwa wa task na jinsi ulivyoifanya hivyo inategemea na review.
Nimeashaanza fanya LiDAR ila niko second stage nafanya tasks za hapo nikiimaster nitaendelea ziko paka stage saba na kila stage ina malipo matamu Zaidi.
Kuna tasks nyingine unaweza kuanza nazo ambazo zinahusiana na vitu vyepesi kama kujua position ya sura na mkono wa dereva kwenye picha wakati anaendesha gari. Ila hizi hazina pesa ya maana utahangaika nazo nahisi ukipata pesa nyingi kwa week haiwezi zidi dollar 30.
Unaweza kuona picha hapa chini.
All the best freelancers.