Hahaha hii ngoma ni ngumu kuliko freelancing zote, na mimi ni mmoja wao nimemudu Fiverr, but hii nilijaribu miezi kadhaa nyuma nafikiri ilikuwa mwezi wa tatu yaani hapa kama wewe ni mzembe wa kusoma kisha kufanya mtihani then task yaani utakomaje.
Nimekuwa nikimaliza kusoma na
kisha nafanya mtihani then napokea task but niliona browser ina count time alafu ni muda mfupi kulabel.
Nilifanya task za kulabel picture na kuidentify picha za magari zinazoingiliana. Mambo mengine nishasahau.
But siku nyingine ntajaribu.