Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

Reele rinju

Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
17
Reaction score
17
Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days.

Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa namna moja au nyingine, anyway nahitaji kutalk from my own experience best way ya ku move on ni ku try to think out of the box ( kwa maana ukiwa nje ya mahusiano ndio unaweza elewa chanzo na baya lililopo ndani ya mahusiano kwa maana kwamba ukiwa ndani ya relationship ni ngumu kufanya maamuzi magumu utaburuzwa tu🤣) na pia ku keep distance (kwa maana ya kukata mawasiliano na ku mind your own bussiness) here we can move on easily na kufanya decision sahihi zaidi.

Asanteni .
 
Mbona Polepole alisema Sisiemu hatoki, labda wamchomoe wenyewe? Polepole for president.

#^Car-taaWar-who-knee^
 
Ili uweze kumove on, amini Maisha ni safari ndefu hivyo kuna challenges nyingi. Kwanza jipende mwenyewe, kula vizuri, vaa vizuri na enjoy Maisha yako. Jikeep bize kutafuta pesa na kujifunza. Ukiwa na pesa ukapendeza mademu wengi utawapata utaweza kumove on.
 
Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days.

Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa namna moja au nyingine, anyway nahitaji kutalk from my own experience best way ya ku move on ni ku try to think out of the box ( kwa maana ukiwa nje ya mahusiano ndio unaweza elewa chanzo na baya lililopo ndani ya mahusiano kwa maana kwamba ukiwa ndani ya relationship ni ngumu kufanya maamuzi magumu utaburuzwa tu[emoji1787]) na pia ku keep distance (kwa maana ya kukata mawasiliano na ku mind your own bussiness) here we can move on easily na kufanya decision sahihi zaidi.

Asanteni .
Now days au nowadays??
 
Huo ni mwanzo tu,,,Lazima uwe mwanafalsafa...

Life is not that serious.
 
Back
Top Bottom