Somebody’s Son
Member
- May 22, 2013
- 94
- 207
Find a hobby stick on that, Kama ni kucheza Video Games, Au Kama mtu wa mazoezi zama Gymn kama ni book worm soma. Utamsahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days.
Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa namna moja au nyingine, anyway nahitaji kutalk from my own experience best way ya ku move on ni ku try to think out of the box ( kwa maana ukiwa nje ya mahusiano ndio unaweza elewa chanzo na baya lililopo ndani ya mahusiano kwa maana kwamba ukiwa ndani ya relationship ni ngumu kufanya maamuzi magumu utaburuzwa tu[emoji1787]) na pia ku keep distance (kwa maana ya kukata mawasiliano na ku mind your own bussiness) here we can move on easily na kufanya decision sahihi zaidi.
Asanteni .