Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni [email protected] NAOMBA NISAIDIE.