mkuu iko hivi,JWTZ ina branch zake au department zake eg ,jkt,air wing,jeshi la maji nk,wote hao wako under the same roof JWTZ,so zamani ilikuwa unaweza kwenda JWTZ mojamoja bila kupitia jkt,walikuwa wanakambi zao za mafunzo eg mafinga,RTS kunduchi na kwingine,au ilikuwa unapita jkt then unaenda JWTZ kwenye mafunzo yao ,lkn sasa ni lazima wote mpitie jkt ,huko baada ya ile miaka 2 ndo nafasi zinatolewa kama ni police,magereza ,uhamiaji,jwtz nk isipokuwa tu wale wanaoenda afisa kadeti monduli kama tuliyowaona leo ikulu wakipewa vyeo hao nafasi zao hutangazwa moja kwa moja uraiani na Mara nyingi hua ni wataalamu mf, marubani,madkatari,wahandisi na hua elimu yao inaanzia uwe na degree na kuendelea hao hawapitii jkt wao ni moja kwa moja jwtz au wanapitia Chuo cha maafisa wa jeshi,nadhani umepata mwanga kidogo