mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
Leo hii sisi tunalia kosa ujapiga viatu kiwi...utasikia makamanda makamanda anastahili ngapi huyu kwa nizamu hii,makamanda kwa mkupuo "tisaaaaaaaaa"....unatoka master paredi umejiinamia adi pumbu zinavuja jasho,unaka na silaha AK47(4.9kg) siku9 mchana na usiku unakesha adi chooni unarobu nayo kisa umepiga kiwi hila haijakoa kwa kiatu..bado wanahiana na wewe ikifika tu paredi ya kitaifa unaenda ubao wa matangazo unakuta copro flani flani amechaguliwa kupiga kwata ya week8 kwajili ya maandalizi ya sherehe ya kitaifa..Kweli kabisa ila vijana hawajui tu.
Jeshi sio kazi mdogo wangu tafuta mambo mengine yakufanya...ule mshati usikutie moyo japo mademu bure nauli bure heshima kwa mtaa ila ni utumwa tu..
Utabana makalio adi yaote kutu,watakao faidi ni ndugu wa pembeni na jamaa na marafiki,wewe unaishiwa kuwa mrevi kwamba una iactivate akili kumbe unajiua taratibu taratibu