Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
Kabla hujaenda JWTZ Lazima upite JKT ndio taratibu za siku hizi.na moja kati ya vigezo vyao vya kujiunga JKT lazima umri wako usizidi miaka 25.Hapana kaka, miaka 26 naitimiza mwezi wa 8 tarehe 21 ! Sijachelewa.Hata hivyo, mbona kuna wanajeshi wazee huko , (nadhani waliingia wakiwa vijana wadogo KAMA MIMI TUU NA WENGINE HATA WAKIWA WANANIZIDI), sasa sembuse Mimi Wa miaka 26 (mwezi Wa 8 mwaka huu) ? BASI TUU.
Umeelewa?