Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

Waha maafande wakubwa mlioko jeshini, NAOMBENI MNISHIKE MKONO MHA NA MTANZANIA MWENZENU ili niwe mwanajeshi kama nyie jamani, mbona mpo kimya makamanda ? Naombeni mnisaidie mwenzenu sina ndg wa damu mkubwa wa huko ambae atanishika mkono niingie huko kuitumikia nchi yangu hii, (maana nchi yetu imeshabadilika sana).KWELI huwa naumia sana nafsi na roho kuwa raia tuu wa kawaida na kufanya kazi nyingine tuu hadi mda huu ilhali sifa za kuwa mwanajeshi wa JWTZ ninazo, Najua kuna waha makamanda na walio wakubwa pia mpo JWTZ, jamani kwa dhati kabisa, NAWAOMBENI MNISAIDIE NIWE MJESHI WA JWTZ Kama mlivyo nyie. Mbona wachaga, wameru, wahaya, n.k wao huwa mtu mmojawapo wa kabila lao akitangulia kupata kazi au mali, huwa anawasaidia wenzie NA HAO WATU WANA MAENDELEO SANA KWA SABABU YA USHIRIKIANO, kwa nini isiwe kwetu sisi waha ? siwezi kukosa fadhila za kuwapa iwapo mkinisaidia nikafanikiwa na MUNGU PIA ATAWALIPA JAMANI, NIKO CHINI YA MIGUU YENU WAKUU (JAPO HAMNIONI LKN NAMAANISHA NINACHOANDIKA), NDABHASAVYE MUMFASHE MBE NKAMWE BHENACHU EE ...​
 
mkuu iko hivi,JWTZ ina branch zake au department zake eg ,jkt,air wing,jeshi la maji nk,wote hao wako under the same roof JWTZ,so zamani ilikuwa unaweza kwenda JWTZ mojamoja bila kupitia jkt,walikuwa wanakambi zao za mafunzo eg mafinga,RTS kunduchi na kwingine,au ilikuwa unapita jkt then unaenda JWTZ kwenye mafunzo yao ,lkn sasa ni lazima wote mpitie jkt ,huko baada ya ile miaka 2 ndo nafasi zinatolewa kama ni police,magereza ,uhamiaji,jwtz nk isipokuwa tu wale wanaoenda afisa kadeti monduli kama tuliyowaona leo ikulu wakipewa vyeo hao nafasi zao hutangazwa moja kwa moja uraiani na Mara nyingi hua ni wataalamu mf, marubani,madkatari,wahandisi na hua elimu yao inaanzia uwe na degree na kuendelea hao hawapitii jkt wao ni moja kwa moja jwtz au wanapitia Chuo cha maafisa wa jeshi,nadhani umepata mwanga kidogo
Kuhusu wenye degree (generalization) umezungumza uongo.
 
Waha maafande wakubwa mlioko jeshini, NAOMBENI MNISHIKE MKONO MHA NA MTANZANIA MWENZENU ili niwe mwanajeshi kama nyie jamani, mbona mpo kimya makamanda ? Naombeni mnisaidie mwenzenu sina ndg wa damu mkubwa wa huko ambae atanishika mkono niingie huko kuitumikia nchi yangu hii, (maana nchi yetu imeshabadilika sana).KWELI huwa naumia sana nafsi na roho kuwa raia tuu wa kawaida na kufanya kazi nyingine tuu hadi mda huu ilhali sifa za kuwa mwanajeshi wa JWTZ ninazo, Najua kuna waha makamanda na walio wakubwa pia mpo JWTZ, jamani kwa dhati kabisa, NAWAOMBENI MNISAIDIE NIWE MJESHI WA JWTZ Kama mlivyo nyie. Mbona wachaga, wameru, wahaya, n.k wao huwa mtu mmojawapo wa kabila lao akitangulia kupata kazi au mali, huwa anawasaidia wenzie NA HAO WATU WANA MAENDELEO SANA KWA SABABU YA USHIRIKIANO, kwa nini isiwe kwetu sisi waha ? siwezi kukosa fadhila za kuwapa iwapo mkinisaidia nikafanikiwa na MUNGU PIA ATAWALIPA JAMANI, NIKO CHINI YA MIGUU YENU WAKUU (JAPO HAMNIONI LKN NAMAANISHA NINACHOANDIKA), NDABHASAVYE MUMFASHE MBE NKAMWE BHENACHU EE ...​
Ushazeeka,hufai kuwa askari
 
Waha maafande wakubwa mlioko jeshini, NAOMBENI MNISHIKE MKONO MHA NA MTANZANIA MWENZENU ili niwe mwanajeshi kama nyie jamani, mbona mpo kimya makamanda ? Naombeni mnisaidie mwenzenu sina ndg wa damu mkubwa wa huko ambae atanishika mkono niingie huko kuitumikia nchi yangu hii, (maana nchi yetu imeshabadilika sana).KWELI huwa naumia sana nafsi na roho kuwa raia tuu wa kawaida na kufanya kazi nyingine tuu hadi mda huu ilhali sifa za kuwa mwanajeshi wa JWTZ ninazo, Najua kuna waha makamanda na walio wakubwa pia mpo JWTZ, jamani kwa dhati kabisa, NAWAOMBENI MNISAIDIE NIWE MJESHI WA JWTZ Kama mlivyo nyie. Mbona wachaga, wameru, wahaya, n.k wao huwa mtu mmojawapo wa kabila lao akitangulia kupata kazi au mali, huwa anawasaidia wenzie NA HAO WATU WANA MAENDELEO SANA KWA SABABU YA USHIRIKIANO, kwa nini isiwe kwetu sisi waha ? siwezi kukosa fadhila za kuwapa iwapo mkinisaidia nikafanikiwa na MUNGU PIA ATAWALIPA JAMANI, NIKO CHINI YA MIGUU YENU WAKUU (JAPO HAMNIONI LKN NAMAANISHA NINACHOANDIKA), NDABHASAVYE MUMFASHE MBE NKAMWE BHENACHU EE ...
....
​
 
Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni [email protected] NAOMBA NISAIDIE.
Umri wako hauruhusu kwasasa mwisho ni miaka 23
 
Mi nilienda pale mlalakuwa bila kujuana wala nini nikamuona askari mmoja mwenye vyeo fulani nikamfuata nikamueleza juu ya nia yangu aisee huwezi amini akanipa appointment nije kuchukua form nilishangaa sana ila kwa sasa sijui itakuwaje.Walinzi wakikuuliza waambie kuwa wewe unaenda kuonana na Brigedia ........... tunga jina mkuu.
Alafu wakimuuliza brigedia nani?...... Aseme nimesahau
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya kazi za kishenzi kama hizo.
Kumbuka hizo kazi za kishenzi ndo kwa namna moja au nyingine zinakuwezesha kuishi unavyoishi na hizo mbwembwe ulizonazo kuna watu wako on duty 24/7 wakifanya training na strategic security assessiment wewe ukuwa unakoroma kwa amani ukisubiri asubuhi ifike. Hamna kazi ya kishenzi maana dunia inategemeana. Hizo uzoita za kishenzi zikikosa wa kuzifanya na hizo unazofanya unadhani ni za maana hazitafanyika. ICHUKUE HIYO KIJANA.
 
Alafu wakimuuliza brigedia nani?...... Aseme nimesahau
No nilitunga Jina fulani wakaniuliza yupo offisi gani nikajibu kaniambia nikifika mapokezi kuna mtu atanipokea na kunielekeza.Aisee yule afande akanipa op
 
Kumbuka hizo kazi za kishenzi ndo kwa namna moja au nyingine zinakuwezesha kuishi unavyoishi na hizo mbwembwe ulizonazo kuna watu wako on duty 24/7 wakifanya training na strategic security assessiment wewe ukuwa unakoroma kwa amani ukisubiri asubuhi ifike. Hamna kazi ya kishenzi maana dunia inategemeana. Hizo uzoita za kishenzi zikikosa wa kuzifanya na hizo unazofanya unadhani ni za maana hazitafanyika. ICHUKUE HIYO KIJANA.
Wao ndio wamechagua hiyo! Mimi siwezi fanya hiyo, bora nibaki zangu kijijini niendelee kulima lakini niko huru.
 
Nikutakie jumapili njema. LAKINI UFAHAMU KWAMBA HAMNA MTU ALIYE HURU KATIKA FANI.
 
No nilitunga Jina fulani wakaniuliza yupo offisi gani nikajibu kaniambia nikifika mapokezi kuna mtu atanipokea na kunielekeza.Aisee yule afande akanipa op
Kwa hiyo kaka wewe ni Mjeda Wa JWTZ, Hongera sana mkuu.
 
Waha maafande wakubwa mlioko jeshini, NAOMBENI MNISHIKE MKONO MHA NA MTANZANIA MWENZENU ili niwe mwanajeshi kama nyie jamani, mbona mpo kimya makamanda ? Naombeni mnisaidie mwenzenu sina ndg wa damu mkubwa wa huko ambae atanishika mkono niingie huko kuitumikia nchi yangu hii, (maana nchi yetu imeshabadilika sana).KWELI huwa naumia sana nafsi na roho kuwa raia tuu wa kawaida na kufanya kazi nyingine tuu hadi mda huu ilhali sifa za kuwa mwanajeshi wa JWTZ ninazo, Najua kuna waha makamanda na walio wakubwa pia mpo JWTZ, jamani kwa dhati kabisa, NAWAOMBENI MNISAIDIE NIWE MJESHI WA JWTZ Kama mlivyo nyie. Mbona wachaga, wameru, wahaya, n.k wao huwa mtu mmojawapo wa kabila lao akitangulia kupata kazi au mali, huwa anawasaidia wenzie NA HAO WATU WANA MAENDELEO SANA KWA SABABU YA USHIRIKIANO, kwa nini isiwe kwetu sisi waha ? siwezi kukosa fadhila za kuwapa iwapo mkinisaidia nikafanikiwa na MUNGU PIA ATAWALIPA JAMANI, NIKO CHINI YA MIGUU YENU WAKUU (JAPO HAMNIONI LKN NAMAANISHA NINACHOANDIKA), NDABHASAVYE MUMFASHE MBE NKAMWE BHENACHU EE ...​
Jeshi halipokei wakabila....
Mtu anaye tanguliza ukabila huwa na mdharau sana.
Subiri jeshi la waha watakuajiri.
 
Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni [email protected] NAOMBA NISAIDIE.

Bila JKT ni kama kutaka kwenda peponi bila kuonja mauti. Pia kwa umri huo, nakushauri uendelee na majukumu mengine ya kimaisha.
 
Kama Mimi wa 20's na wale makamanda wenye 50's na bado wanapiga kazi JWTZ ndo vijana ? Aiseeeh ... kweli mtu asiye na msaada ana njia nyingi za kuongea ili kukatisha tamaa mwenzie.
Wale waliingia tangu wakiwa wadogo sana!! We jeshi utabaki kuliskia tu,tafuta mambo mengine ya kufanya kijana
 
Back
Top Bottom