Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
- Thread starter
- #161
Sawa.Wale waliingia tangu wakiwa wadogo sana!! We jeshi utabaki kuliskia tu,tafuta mambo mengine ya kufanya kijana
Sawa.Wale waliingia tangu wakiwa wadogo sana!! We jeshi utabaki kuliskia tu,tafuta mambo mengine ya kufanya kijana
Umekosea mkuu kutaka Waha.....Sawa, jeshi linapokea malaika tuu na sio makabila, nimekuelewa.
Sawa.Umekosea mkuu kutaka Waha.....
Lakini jeshi lina website yake tembelea huko ukaone utaratibu uliopo.
NB:nafahamu kuwa jeshi wanachukua 18-25yrs juu ya hapo sidhani
Katika fani yangu ya kilimo hakuna mtu aninipa amri.Nikutakie jumapili njema. LAKINI UFAHAMU KWAMBA HAMNA MTU ALIYE HURU KATIKA FANI.
Hapana ila maswala ya security, strategic and peace proceseses ni eneo langu la kazi na utafiti.Kwa hiyo kaka wewe ni Mjeda Wa JWTZ, Hongera sana mkuu.
Nieleze unakuwaje huru dhidi ya mazao yanayohitajika katika masoko ya nje? Haina fulani za mbegu na dawa za kutumia, je unazuiaje makampuni kupanga bei ya mazao yako? Una uhuru kiasi gani dhini ya matakwa ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo ukusababisha wewe ila watu katika nchi nyingineKatika fani yangu ya kilimo hakuna mtu aninipa amri.
Hajasema anatafuta UTAJIRI. Anatafuta kuiridhisha nafsi yake kwa kazi ya ndoto zake, hivi ni kwanini minds za vijana wa Kiafrika zipo corrupted namna hii?Tafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Askari hata ukiumwa lazima uombe ruhusa kwenda hospitali,unapopewa amri na bossi wako hutakiwi tena kutumia akimi yako. Unatekeleza amri hata kama no ya kinga. Kwa ufupi wewe ni mtumwa.Nieleze unakuwaje huru dhidi ya mazao yanayohitajika katika masoko ya nje? Haina fulani za mbegu na dawa za kutumia, je unazuiaje makampuni kupanga bei ya mazao yako? Una uhuru kiasi gani dhini ya matakwa ya mabadiliko ya tabia nchi ambayo ukusababisha wewe ila watu katika nchi nyingine
Yan kaka, watu wanawaza njia za kutajirika tuu na kusahau kwamba kuna wenzao kama JWTZ, POLISI, N.K wamejitolea maisha yao kuwalinda ili wafanye mambo yao ya kiuchumi watajirike na kuishi vyema kwa usalama.Huwezi kwenda jeshini kutafuta utajiri, JESHI LINAKUSHINDA ! UTAJIRI UNAPATIKANA URAIANI AMBAPO MTU YUPO HURU KUFANYA MASUALA MENGI ila, Mimi ninapenda tuu kule kwa sababu roho yangu inapenda kwa dhati kuwa huko, POTELEA MBALI KUFA MAPEMA, KUWA MASKINI, KUKOSA UHURU WA KUFANYA MISHE ZANGU NYINGINE ZA PESA N.K ningepata nafasi Ningeenda Mimi tena kwa roho nyeupe lkn, ndo ivyo bhn unachokipenda hukipati maana vikwazo vinakuwa vingi kweli kweli.Hajasema anatafuta UTAJIRI. Anatafuta kuiridhisha nafsi yake kwa kazi ya ndoto zake, hivi ni kwanini minds za vijana wa Kiafrika zipo corrupted namna hii?
Sawa, ni vyema.Hapana ila maswala ya security, strategic and peace proceseses ni eneo langu la kazi na utafiti.
Mkuu, hiyo komenti yako uliifanyia kazi?Nina mpango Wa kutafuta co mmojawapo wa kambi mojawapo ya RTS nitamfuata kambini kabisa na vitambulisho vyote asije dhani Mimi ni mtu mwenye nia mbaya, halafu nimuelezee yangu ya moyoni nimsikie ananiambiaje.Akikataa nitalala kwake humohumo na kama ni kunipiga kijeshi wanipige tuu, km NI kuniua basi waniue SITATOKA HAPO KAMBINI MPAKA CO ANIANDIKE JINA NA ANIKUBALIE KUWA MMOJAWAPO WA WANAJESHI WALIOKO MAFUNZO YA KIJESHI RTS.Maana haiwezekani niumie nafsi kila ninavyoona mjeshi au kila ninavyokumbuka jeshi wakati jeshi lipo ili watu wajiunge nalo, sema tuu vikwazo Vya hapa na pale Vya binadamu wenyewe.Na ingetokea tuu ishu ikatiki ? Naomba kwa co kwenda kozi ya ukomando ili nikalinde nchi kwa moyo wote kama ni kufa, posho ndogo, kuwa maskini n.k basi vingekuja tuu ningekuwa huko nisingevijari Mimi.Alaaaah ... !
Njia rahisi ya kuingia JW ni kwenda kukojoa kati ya zile njia mbili pale lugalo mkuu
Mmmmh, siwezi lukojoa sehemu ambayo kamanda Mkwawa (R.I.P) ALIWACHAKAZA Wajerumani bwana.NAPAJESHIMU SANA.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Uzito wangu ni Kilogramu 64 na urefu wangu ni futi tano pointi nane (futi 5.8).nambie uzito wako na urefu nione namna ya kukusaidia
Ndiyo.Mkuu, hiyo komenti yako uliifanyia kazi?
uzalendo huuAIPOLO, NAPENDA SANA HIYO KAZI, ACHA UMASKINI TUU HATA KUFA MAPEMA NI MOJA YA HASARA LAKINI SIANGALII HAYO YA UTAJIRI AU VINGINEVYO, NAPENDA TUU TENA KWA DHATI NDG.HATA NIKIWA FUKARA WA MWISHO DUNIA HII AU NIKIFA MAPEMA () SAWA TUU.