Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Una elimu ganHabarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
Kwa hizo mbwembe utaishia kutapeliwa tu!!!Habarini Ndg ?

Kula like za kutoshaTafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Kweli kabisa ila vijana hawajui tu.Tafuta kazi ya maana ufanye kijana, kazi za uaskari ni kujiandalia umaskini wa milele tu.
Nenda kwenye shina au tawi kachukue kadi na uwe karibu ili angalau ujulikane julikane, nafasi zikitoka nenda ofisi ya tawi au kata waambie unataka kujiunga, utaunganishwa faster tu. Mtumikie kafiri upate ujira wako. Ukitaka kutoka kimaisha hakikisha unakua na kadi mfukoni.Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
Habarini Ndg ?

Una hizi Sifa Kuu zifuatazo za kuwa Mjeda / Mwanamedani....
Nasubiri majibu yangu tafadhali.
- Mvumilivu hata kama mwenzako anakuJumaNyosso?
- Kuhimili Kushinda njaa kwa Saa 72?
- Kuzunguka Uwanja wa Taifa mara / raundi 75 za Spidi ya Usain Bolt kila asubuhi ndipo unywe Uji / Chai?
- Kushinda Wiki tatu bila Kuoga, Kujamba wala Kunya?
- Kubeba mzigo / begi la Kilo 75 hadi 85 za Mawe Mgongoni mwako Saa 24 za Siku?
- Kutembea kwa miguu Dar mpaka Idodi au Ruaha Mkuu kila siku usiku na mkikatiza Mbugani Mikumi mbele ya Okwi / Simba?
- Kukaa miezi Kenda / Tisa bila Kungonoka / Kubaiolojiana na Mwanamke / Mwanaume yoyote na hata Kupiga Nyeto?
UmechelewaaaaHabarini Ndg ?

Hapo namba tano mmh huo uzitomwingi sana nasikia kg 15Una hizi Sifa Kuu zifuatazo za kuwa Mjeda / Mwanamedani....
Nasubiri majibu yangu tafadhali.
- Mvumilivu hata kama mwenzako anakuJumaNyosso?
- Kuhimili Kushinda njaa kwa Saa 72?
- Kuzunguka Uwanja wa Taifa mara / raundi 75 za Spidi ya Usain Bolt kila asubuhi ndipo unywe Uji / Chai?
- Kushinda Wiki tatu bila Kuoga, Kujamba wala Kunya?
- Kubeba mzigo / begi la Kilo 75 hadi 85 za Mawe Mgongoni mwako Saa 24 za Siku?
- Kutembea kwa miguu Dar mpaka Idodi au Ruaha Mkuu kila siku usiku na mkikatiza Mbugani Mikumi mbele ya Okwi / Simba?
- Kukaa miezi Kenda / Tisa bila Kungonoka / Kubaiolojiana na Mwanamke / Mwanaume yoyote na hata Kupiga Nyeto?
Ndg, mimi mi mfizikia mwenye shahada (digri) ya kwanza (bachlelor of science in physics) nina elimu ya chuo kikuu na nina afya njema na uwezo mkubwa tuu kiakili.Mtaani sijapachoka kama nimevyosema hapo mwanzo, HAPAJANISHINDA KAMWE ! lakini NINAPENDA TUU KUWA MWANAJESHI WA JWTZ.
Kwani miaka ya nyuma watu walipitia JKT ndg ? si hiki kitu kimekuja tuu baada ya watu wengi kukosa ajira za kawaida kwa mtaa na kuamua kwenda jeshini km kimbilio la kuponea ? Ndo maana na mimi nimesema kwamba, sitaki kupitia JKT kwa mara nyingine, ninahitaji tuu kwenda zangu JWTZ, na kama kuna mtu mwenye kuweza kunisaidia katika hili, ninaomba anisaidie.
mkuu
, hapo hakuna jipya ndg yangu.Mimi nimelelewa kikakamavu siyo mtoto wa mama hatttta kidogo.Huko JKT kipindi tupo Mujibu wa sheria tulipitia zaidi ya hayo na bado tupo tuu hatukufa.Watu wanakwenda kozi za ukomando wanafaulu sembuse hizi ishu ? niko vzr bhan
Ndg, mimi mi mfizikia mwenye shahada (digri) ya kwanza (bachlelor of science in physics) nina elimu ya chuo kikuu na nina afya njema na uwezo mkubwa tuu kiakili.Mtaani sijapachoka kama nimevyosema hapo mwanzo, HAPAJANISHINDA KAMWE ! lakini NINAPENDA TUU KUWA MWANAJESHI WA JWTZ.
Kwani miaka ya nyuma watu walipitia JKT ndg ? si hiki kitu kimekuja tuu baada ya watu wengi kukosa ajira za kawaida kwa mtaa na kuamua kwenda jeshini km kimbilio la kuponea ? Ndo maana na mimi nimesema kwamba, sitaki kupitia JKT kwa mara nyingine, ninahitaji tuu kwenda zangu JWTZ, na kama kuna mtu mwenye kuweza kunisaidia katika hili, ninaomba anisaidie.
Habarini Ndg ?
Mimi ni kijana mtanzania, umri miaka 26.Ninahitaji kuwa mwanajeshi JWTZ lakini km mnavyojua, hiki kitu kimekuwa kigumu sana kwa miaka hii kwani kuna uwezekano Wa mtu kwenda JKT ili badae awe mjeshi JWTZ lakini asiweze kufanikiwa kuwa hivyo wala kwa namna nyingineyo pia, akarudi nymbani tuu baada ya kupoteza muda Wa miaka miwili ( mitatu) ya JKT.Kwa hiyo, ninaomba mtu mwenye uwezo Wa kunisaidia nikaingia JWTZ moja kwa moja bila kupitia JKT, Ani PM tuongee vizuri ili niende huko.Siyo kwamba nahitaji kuwa huko kwa sababu ya uchumi mbovu Wa mtaani, au kwa sababu ya pesa ya huko HAPANA ! NI kwamba hili jeshi ninalipenda sana kutoka moyoni na sifa za kuwa huko nipo Nazo lakini kufika huko kumekuwa kugumu sana kwa miaka hii na bila kuwa na aliyekushika mkono huko, huwezi kuwa mwanajeshi JWTZ.Kama ni kukomaa mtaani ninaweza tuu vizuri na ninafanya shughuli za hapa na pale tatizo NI kwamba, NINAPENDA SANA KUWA MWANAJESHI WA JWTZ, imefikia hatua kila nikimuona bakabaka au afisa Wa huko, nakuwa nikiumia nafsi na kusononeka ilhali uwezo Wa kuwepo huko upo.Najua hili linawezekana nilishapitia jkt kwa mujibu Wa sheria SITAKI POVU ! USIONGEE UPUPU ! Na hakuna cha ooooh haiwezekani mpaka upitie jkt Mara oooh maisha yamechapa so natafuta pa kuchomokea , N.K HAPANA.Hata hivyo hakuna jipya wala siri dunia hii wala hakuna mtu malaika wala binadamu yyt mwenye hadhi ya juu kumzidi mwenzie kwa hiyo ni kawaida tuu maana wote tutakufa.NAOMBA MTU MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA KTK HILI ANI PM NISAIDIKE, tufanye namna yoyote ili NIWE HUKO pia Email yangu ni gidukimoshi@gmail.com NAOMBA NISAIDIE.
kwa hyo hapo kwenye wote tutakufa unatutishia amaaaHabarini Ndg ?

AIPOLO, NAPENDA SANA HIYO KAZI, ACHA UMASKINI TUU HATA KUFA MAPEMA NI MOJA YA HASARA LAKINI SIANGALII HAYO YA UTAJIRI AU VINGINEVYO, NAPENDA TUU TENA KWA DHATI NDG.HATA NIKIWA FUKARA WA MWISHO DUNIA HII AU NIKIFA MAPEMA () SAWA TUU.