Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Erythrocyte,

Mwambie mbowe ajibu hoja zake kwanza, je aliyatenda hayo? Kushinda sio shida tupo wa TZ milioni 60 mbona wengine hata ndoto ya ubunge hatuna kwani tumeshindwa kuishi, hata yeye ataungan na wale mbao hawana ubunge na maisha yataendelea
 
Erythrocyte,
Vyovyote iwavo haina athari yoyote kwetu sisi raia wa kawaida. Tanzania hakuna uhuru wa kuchagua wala wa kuchaguliwa!
 
Ufipa mnajipa faraja, hadi mnatia aibu. Chama kinazidi kukimbiwa na wabunge na wanachama, bado tu mnamsapoti DJ? mwambieni ukweli chama kinakufa hicho,
Wamekimbia kwa sababu wengi wao wamekata tamaa, kwa kuwa wanajuwa kwamba hata vyama vengine vikiwateuwa na wananchi kuwachaguwa kwenye sanduku la kura, hawana uhakika wa kuchaguliwa kutokana na rafu zenu CCM. Hebu fanyeni tume huru halafu mruhusu uchaguzi uwe huru na wa haki muone kama kuna atakaeondoka kwenye upinzani wa kweli.
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Unachokisema ndugu ni kweli kabisa lakini tutambue ccm wamedhamiria kutopoteza jimbo lolote ( bao la mkono). Kwahiyo kitakachombeba si "viti maalum" bali ni kupitishwa kuwa mgombea kutokana na maamuzi "kutoka juu".
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Naonea huruma Heche na Matiko kwani yawapasa kutoka Bungeni kuridisha majimbo CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wengi tu watatoswa maana watakuwa hawana thamani tena.
Erythrocyte , woooooote walionunuliwa/waliosalititi vyama vyao , wanategemea ule ushenzi wa uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika na hivyo kupita bila kipingamizi/kuwabeba. Ni hilo tu! Wanadhani Jiwe atafanya hivyo. Short of that hakuna atakayepita wote walionunuliwa na Jiwe watabwagwa . Ninachoamini ni kuwa watanzania hawajapenda haya ya kununulwa!.
 
Ukweli ndio huo, Waitara bado Ana Tabia mbaya ya kunywa pombe Hadi anajisahau na kumissbehave. Kipindi like alipogombea Tarime walimkataa kisa analewa na kukojoa hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom