Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Chadema kilimbeba hana uwezo binafsi wa kupambana.
 
Nazan tungepata katiba mpya na tume huru ya uchaguz ingekua ni bora sana nimeshangaa kuona nchi kama malawi matokeo ya urais yanapingwa mahakaman cjui hku kwetu tunasubr muujiza upi??

Its not over until its over...[emoji769]
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Naona 💉💉💉💉 alizopiga zimeacha majipu.
 
Tena Dodomaaa yenyewe ya kule Kongwa kwa andunje. Lile eneo kwa kweli Mungu tu alisaidie maana sio kwa ule umasikini. Ndio maana anunje anamchukia Mwamba kwa sababu ya inferiority complex aliyonayo
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Huyu pamoja na wasaliti wengine wataipata uchaguzi huu.
 
Atakuwa anaingizwa na Mbatia bungeni maana mbatia ndiye atakuwa kiongozi wa KUB.

Chama chenye kiongozi mmoja kama nccr na kisicho na misingi hakiwezi kuwa na lolote , huwezi kupata kura bila wanachama , endeleeni kumpa hela zenu aendelee kuzitafuna .

Mpaka naandika hapa Chadema ina zaidi ya wanachama mil 10 nchi nzima , kumbuka hawa si wanachama maandazi
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .

Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Yani unamaanisha viti vya ladies free sio
 
Mtoa mada kadri siku zinavyoenda ndio matumizi yako akili yanazidi kuwa chini unabakiwa na emotions tu!

Siasa inazidi kufifisha utendaji kazi wa ubongo wako, hatima yake unaruhusu moyo ukufanyie maamuzi hata kwenye masuala nyeti yanayohitaji upembuzi yakinifu!
 
Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .

Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.

Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Acha uzandiki weka hapa hiyo hati uthibitishe kuwa alinunuliwa. La sivyo wewe ni mpotoshaji. Mmetokea kumchukia Waitara sababu ameisambatatisha Chadema kwa kiibua ufisadi wa Mbowe baada ya kukwapua bil 8+.
 
Back
Top Bottom