Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

Na hili la wananchi kukataa amri ya kuingia barabarani, inaonyesha dhahiri chadema haikushinda, ila kwa vile mdomo Mali yao, lazima waseme wameibiwa
Unafikiri walioshinda wanaweza wakawaamrisha watu waingie barabarani?
 
Ila si mlishasema safari hii mmejipanga hayawezi jirudi la ya enzi za Lowasa.... ila kilichotokea sasa bora hata kile kipindi cha lowasa
Hakuna kura yoyote iliyopigwa na wapiga kura 2020 iliyotumika kupata mshindi , matokeo yalitengenezwa na Tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom