Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Hakuchaguliwa , alitangazwa tu kama njama ya Mahera ilivyopangwaVipi mkuu huko tarime vijijini? Wazima?😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuchaguliwa , alitangazwa tu kama njama ya Mahera ilivyopangwaVipi mkuu huko tarime vijijini? Wazima?😂😂😂
Mtu yeyote anayeamini ccm imeshinda kihalali kuna haja ya kupimwa akiliMatokeo fikirishi.
Ngoja tuwaache ma imani zenu ambazo hazina ushahidi mkuuHakuchaguliwa , alitangazwa tu kama njama ya Mahera ilivyopangwa
Kamuulize msigwa kama 2015 mulipimwa akili baada ya kumrudia Lowasa.Mtu yeyote anayeamini ccm imeshinda kihalali kuna haja ya kupimwa akili
Andiko limehifadhiwa.Ambaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
OhoooAmbaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Uteuzi wa Mwita Waitara jimboni kwake wajaHuyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Utukutu hauna umri... Tarime hoyeèeee 😂😂😂😂😂Vipi mkuu huko tarime vijijini? Wazima?😂😂😂
Ili kusema chadema ilishinda inahitaji uthubitisho wa numba sio manenoMtu yeyote anayeamini ccm imeshinda kihalali kuna haja ya kupimwa akili
HESHIMU MDOMO WAKOO PUNGUZA MAKALI YA MDOMOO UNAAIBIKAHuyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Jamaa huwa hana aibu; kama alivyo Yericko Nyerere.HESHIMU MDOMO WAKOO PUNGUZA MAKALI YA MDOMOO UNAAIBIKA
AaliniRUSHIA MANENOO SIKU NIMEANDIKA LEMA NA SUGU WAKISHINDA NAAMA NCHIIJamaa huwa hana aibu; kama alivyo Yericko Nyerere.
😂😂
- Jibuni hoja zake acheni upigaji wa ramli. Hata Mbowe harudi bungeni vilevile.
AaliniRUSHIA MANENOO SIKU NIMEANDIKA LEMA NA SUGU WAKISHINDA NAAMA NCHII
SIJUI ANAJISIKIAJE MPWA WANGUU SASAHIIIZI SIO KWA DOSI HII
Vipi dada!! Upooo!!Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri .
Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote analoweza kushinda ubunge hata kama atapelekwa kwenye majimbo yenye wapiga kura duni ya Mkoa wa Dodoma, hii ni baada ya kushindwa kuiendeleza Ukonga , huku akiwanunulia bia watu wote wanaohoji ubovu wa barabara, (wewe kunywa bia barabara itakusaidia nini?), hata Tarime ambako ndio kwao hawataki hata kumsikia, na hivi karibuni alihojiwa na CCM Mkoa wa Mara kwa kuanza kujipitisha kabla ya wakati.
Njia pekee ya Waitara kuwa Mbunge ni kuomba huruma ya kuteuliwa viti maalum na Rais iwapo CCM iliyokaliwa kooni na wananchi kutokana na ugumu wa maisha itashinda Urais.
Na limehifadhiwa kabisa. RIP kwa yule jamaa aliyesema ogopa Mungu na pia technologyAmbaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili