Vipi dada!! Upooo!!
HAHAHAAAAAA WALIJISAHAUUMipango ya kile kituo cha kuzihesabu kura feki nje ya nchi ili failπππ
Walijipanga ila hawakutoboa
Hakuchaguliwa , alitangazwa tu kama njama ya Mahera ilivyopangwa
Endeleeni kushangilia uozo , lakini tambueni kwamba shetani hajawahi kuwa na rafikiKamanda akiwa mmoja wakiwa wengi "nyamanda"
Unafikiri walioshinda wanaweza wakawaamrisha watu waingie barabarani?Na hili la wananchi kukataa amri ya kuingia barabarani, inaonyesha dhahiri chadema haikushinda, ila kwa vile mdomo Mali yao, lazima waseme wameibiwa
Kuna tofauti kubwa sana kati ya awamu ya haki na ya dhulma.Ila si mlishasema safari hii mmejipanga hayawezi jirudi la ya enzi za Lowasa.... ila kilichotokea sasa bora hata kile kipindi cha lowasa
Hakuna kura yoyote iliyopigwa na wapiga kura 2020 iliyotumika kupata mshindi , matokeo yalitengenezwa na Tume ya uchaguziIla si mlishasema safari hii mmejipanga hayawezi jirudi la ya enzi za Lowasa.... ila kilichotokea sasa bora hata kile kipindi cha lowasa
Kwan mahakama ya I.C.C wanasemaje?!Hakuna kura yoyote iliyopigwa na wapiga kura 2020 iliyotumika kupata mshindi , matokeo yalitengenezwa na Tume ya uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Aisee
Mnajifarijigi utadhan hamuwafahamu CCMOctoba patachimbika mkuu, Magu mwenyewe hatihati atapata wapi ujasiri wa wabunge?
Dada inabidi safari hii wewe ndio uwe msemaji wa chadema sasaAmbaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Duuh! Siku zinakwenda kasi sana...Ambaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Mkuu MTU mwizi asikufanye umuhesabie haki walati hana haki hata kama unauhakika ataiba kwa vile anafahamoka ni mwiziMnajifarijigi utadhan hamuwafahamu CCM
Ogopa sana teknolojia.. Njoo ule matapishi yakoAmbaye anaweza kumfanya Mbowe asiwe mbunge ni Mungu pekee , vinginevyo hakuna takataka ya kumzuia .
Hifadhi andiko hili
Hahahah! Nimecheka kiboya sanaKamanda akiwa mmoja wakiwa wengi "nyamanda"