Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #21
AiseeMtanashati?
🌈?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeMtanashati?
🌈?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wee unamjua vizuri Tundu Lissu? Hafi kwa risasi yule.
Nini maana ya kuvunja bunge?Rais ana power kulivunja Bunge saa yeyote akiona wanaelekea kupiga kura....no confidence....anavunja Bunge faster
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Nyinyi wananchi mnaopiga kuraWatawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Kwamba mkimtoa rais kwa kutokuwa na imani naye, wabunge ndio watapiga kura kumpata rais? Kama rais anaweza kupatikana kwa njia ya kuchezea uchaguzi, hao wabunge ndio watapatikana kihalali? Tuzungumzie kwanza uchaguzi kuwa wa haki, kisha hayo mengine ndio uyalete.
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Wanaolinda kura huishia kufungwa jela kwa malezo kuwa walitaka kuharibu uchaguzi.Nyinyi wananchi mnaopiga kura
Kwanini hamlindi kura zenu ?
Ccm hata ikiwa moja, vyombo vya dola tu vikisimamia haki mchezo umeisha.Ili ccm itoke lazima kipasuke...na majeshi yawe neutral....yaache kusimamia maagizo ya wanasiasacwa ccm...
NAKAZIAWatawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Wewe hata National Service yawezekana hujawahi kupitia,na kama umepitia basi ulikuwa na cheti cha Daktari.Haiwezekani:
Njia mbadala ziko mbili:
1. Wananchi wote wakae nyumbani wasiende kazini na wasifanye kitu kila kitu kisimame, ambayo ni ngumu.
2. Jeshi lipindue halafu baada ya miaka miwili raia waje kuchaguliwa
Ya pili hapo inawezekana na ndiyo huko tunakomwenda
hawana uwezo wa kupata wabunge wa kuchaguliwa ispokua viti maalumu gentleman 🐒
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
upinzani hua kama mazuzu vile,Watawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Kwa tulichoshuhudia 2019,2020 na 2024 hawatapata hata mbunge mmoja kwani sheria ni zile zile, kanuni zile zile, Katiba ilel ile, watu wale wale na dhamira ovu ni ile ile.
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
sasa mkuu naanzaje kulinganisha katiba ya us na ya tz, nilinganishe mbingu na ardhi, nilimlinganishe kibajaj na representative wa jimbo moja la us? Nilimlinganishe rais wa us ambaye anawajibika kwa bunge na rais wa tz ambaye bunge linawajibika kwake? Tafadhali mkuu.Mkuu nimekuuliza ww.
Unaijua Vita?Watawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
Njia ya kuingia Ikulu ni kuhakikisha hawaibiwi kura !
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.
Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.
Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Duh 🙄 !sasa mkuu naanzaje kulinganisha katiba ya us na ya tz, nilinganishe mbingu na ardhi, nilimlinganishe kibajaj na representative wa jimbo moja la us? Nilimlinganishe rais wa us ambaye anawajibika kwa bunge na rais wa tz ambaye bunge linawajibika kwake? Tafadhali mkuu.
Na CCM ndo wanachotaka ili wapate sababu ya kuwachinja vizuriWatawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!