Pre GE2025 Njia pekee ya wapinzani kuingia Ikulu ni kupata idadi kubwa ya wabunge kisha kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.

Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.

Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.

Watapstaje Wabunge wengi kwa Chaguxi hizi za kutengenezwa na CCM. Wabavhokifsjya CCM ni kuwagawia idadi ya Wabunge wapinzani. Hivi kipata wabunge wengi haitawezekana unless uchaguxi uwe free and fair. Kitu ambacho CCM hawataki kifanyike.
 
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.

Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.

Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Kwamba mkimtoa rais kwa kutokuwa na imani naye, wabunge ndio watapiga kura kumpata rais? Kama rais anaweza kupatikana kwa njia ya kuchezea uchaguzi, hao wabunge ndio watapatikana kihalali? Tuzungumzie kwanza uchaguzi kuwa wa haki, kisha hayo mengine ndio uyalete.
 
Haiwezekani:
Njia mbadala ziko mbili:
1. Wananchi wote wakae nyumbani wasiende kazini na wasifanye kitu kila kitu kisimame, ambayo ni ngumu.
2. Jeshi lipindue halafu baada ya miaka miwili raia waje kuchaguliwa

Ya pili hapo inawezekana na ndiyo huko tunakomwenda
Wewe hata National Service yawezekana hujawahi kupitia,na kama umepitia basi ulikuwa na cheti cha Daktari.
Vita visikie tu usiombe vikukute.

Tukisema tunataka katiba mpya ya kuongozwa na tume iliyo huru ina maana free for all kugombea ngazi yoyote na mtu yeyote mwenye umri unaruhusu kugombea nyadhifa hizo,akili timamu,Mtanzania wa kuzaliwa,na kura ziwe za haki.
Haya mambo ya kutegemea vyama vya kisiasa tu,hatusogei,vyama vingine ni mali za watu fulani tu.
 
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.

Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.

Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
hawana uwezo wa kupata wabunge wa kuchaguliwa ispokua viti maalumu gentleman 🐒
 
Watawapaje hao wabunge wakati wanaibiwa kura zao? Hapo cha msingi ni kuunda jeshi na kuanzisha vita tu!
upinzani hua kama mazuzu vile,
kazi yao ni kuibiwa kura tu,

sijui huwa kwenye uchaguzi yanaendaga kukodoa mimacho tu au kusinzia?

ng'we ng'we ng'we, ati kura zimeibiwa, mnazo kwanza ndio hata muibiwe?

nani atawachagua watu wenye midomo na makelele kama upinzani nchini Tanazania?🐒
 
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.

Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.

Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Kwa tulichoshuhudia 2019,2020 na 2024 hawatapata hata mbunge mmoja kwani sheria ni zile zile, kanuni zile zile, Katiba ilel ile, watu wale wale na dhamira ovu ni ile ile.
 
Mkuu nimekuuliza ww.
sasa mkuu naanzaje kulinganisha katiba ya us na ya tz, nilinganishe mbingu na ardhi, nilimlinganishe kibajaj na representative wa jimbo moja la us? Nilimlinganishe rais wa us ambaye anawajibika kwa bunge na rais wa tz ambaye bunge linawajibika kwake? Tafadhali mkuu.
 
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana.

Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri.

Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya kutokuwa na imani na rais na wampitishe mwenzao nafasi ya urais.
Njia ya kuingia Ikulu ni kuhakikisha hawaibiwi kura !
Japo hiyo kazi ni ngumu sana !

Kwa Katiba iliyopo Rais anaruhusiwa kulivunja Bunge kabla hata hiyo kura ya kutokuwa na imani haijapigwa 😳 !
Wataalamu wale walishaangalia vipengele vyote vinavyoweza kumtingisha Mkulu wakavirekebisha kama ilivyotakiwa iwe 😳 !

Hata Mwalimu alikuja kuiogopa alipong’atuka tu 😳 !

Lakini sio kabla ya hapo 😅😂🙏👍
 
D
sasa mkuu naanzaje kulinganisha katiba ya us na ya tz, nilinganishe mbingu na ardhi, nilimlinganishe kibajaj na representative wa jimbo moja la us? Nilimlinganishe rais wa us ambaye anawajibika kwa bunge na rais wa tz ambaye bunge linawajibika kwake? Tafadhali mkuu.
Duh 🙄 !
 
Hivi wale wanaitwa waangalizi wa uchaguzi sijui kutoka sadc, European Union, sijui USA etc. TIJA YAO HUWA NI NINI HASA?
 
Back
Top Bottom