njia rahisi kujua uzito wako sahii

njia rahisi kujua uzito wako sahii

Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.

Hukumwelewa, anamaanisha kuwa uzito wako hautakiwi kuzidi hiyo 72. Obesity
 
shekhe Yahaya kumbe aliandaa vijana wakutoshaeee.... anyway nina Baba yangu mdogo hapa anaurefu wa cm118 vp hiyo formula inweza kumpa majibu sahihi bro?
 
Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.

Soma mada kwanza uielewe. Kwa mujibu wa mleta mada (wewe) uzito wako unaotakiwa ni 72 Kg (172-100), kwa mujibu wa urefu wako. Ina maana mpaka hapo umezizi kilo 12 jomba, kama una kg 84 sasa. Punguza unene.
 
hapa hii formula siikubali kabisa, ina maswali mengi yasiyo na majibu.
 
Unaweza kutumia chart hii

BMI_chart.GIF

Haya ndiyo mambo. Asante mkuu. Nimeiprint kabisa hii chati japo imenitisha kidogo -inabidi nichukue hatua.
 
Kuna parameter moja muhimu sana imesahaulika nayo ni span ya MABEGA. Mtu anaweza kuwa mfupi lakini akiwa na width kubwa ya mabega, anaweza kuwa na weight kubwa bila madhara ya kiafya kwa mhusika.
 
Back
Top Bottom