adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.
Hebu jaribu kutoa kwa 90 utapata ngapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.
mbilikimo wote wana obesity ndio maana huwa wanakufa mapema hawezeeki
Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.
Hebu jaribu kutoa kwa 90 utapata ngapi mkuu
Uongo wa hali ya juu. Urefu wangu ni 172. If you minus 100 unapata 72 lakini uzito wangu ni 84.
Unaweza kutumia chart hii
![]()
mbilikimo wote wana obesity ndio maana huwa wanakufa mapema hawezeeki
Haya ndiyo mambo. Asante mkuu. Nimeiprint kabisa hii chati japo imenitisha kidogo -inabidi nichukue hatua.