kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Yani nipo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be calm ni mshangazi au?Akina Atoto, FaizaFoxy, princess ariana, Be calm, BRAZA CHOGO, na leo dada waje kuthibitisha kama kweli hizo mbinu zinafanya kazi ili nami nizi put into practice.
Watu tajwa hapo juu mi hupenda kuwaita TBS kwenye nyanja hizi.
Shwaini kabisaMimi binafsi niko addicted zaidi na wanawake walionizidi umri (mishangazi) kuliko hutu tutoto twa 2000, hii nahisi ipo kisaikolojia zaidi katika makuzi yangu.
Mara yangu ya kwanza kufanya ngono nilikua dogo tu wa form3 nilifanya na beki3, mdada wa kitanga alikua mkubwa kwangu kwa zaidi ya miaka 10, story yake nilishawahi kuielezea kwenye uzi wetu pendwa ule wa kula tunda kimasihara.
Huyu mdada ndie alikua tutor wangu, yeye ndie alienifundisha namna ya kuchomeka kwa mara ya kwanza, akanifundisha namna ya kujizuia nisikojoe haraka pia ndie aliefundisha technics mbalimbali za kulombana.
Katika uzoefu wangu wa kutongoza mashangazi hizi hapa ni njia zilizonifanya nikubaliwe kiurahisi.
-Cha kwanza hakikisha unajifanya unamuona mdogo na mfanye na yeye pia ajihisi bado mdogo.
-Cha pili msifie sana hata kinafki, muite kwa majina mazuri, mpe sifa mpaka ajihisi kua yeye bado ni kabinti kadogo tena karembo kanakoweza mvutia mwanaume yoyote.
-Tatu usizungumzie suala la umri kabisa kwenye maongezi yenu maana hua hawapendi kuzeeshwa [emoji23][emoji23][emoji23]
-Nne kama ana mtoto jitahidi kuonyesha unamjali mtoto wake, uwe unaulizia hali yake, mnunulie vizawadi vidogo vidogo, jitahidi kujenga ukaribu na watoto wake.
-Tano jitahidi kuwa uso wa mbuzi usipende kuchekacheka kifala ili akuone ni mwanaume na siyo mvulana ili lolote litakolotokea usiweze kutoa siri zake.
-Sita mpe chakula, watu wazima hawana mambo mengi zaidi ya kula na kushiba.
Tahadhari: njia hizi zitumike kwa mashangazi tu ambao hawajaolewa, kaa mbali na wake za watu kwa usalama wa marinda yako.
Hakuna "Anazaleti"❌ Aliye Hai,,,Bali Aliye Hai Ni Yesu Kristu Wa "Nazaleti"☑️,,Alafu Jitahidi Kuandika "Namkemea☑️"Na Sio "Namkeamea"❌Namkeamea huyo pepo wa ngono kwa njina la yesu kristu anazaleti aliye hai, amina
Kama kawaida yake.Be calm ni mshangazi au?
Aisee[emoji16][emoji16][emoji16] huyo mnazaleti mwenyewe kuna baadhi ya watumishi wanatuaminisha kua alikua anamgonga Magdalena.
wewe ulivyoona kwa akili yako? Mimi nimjua huyo yesu niliandika kupata like za walokole tu. Mimi naamini mizimu ya kiafrika ambayo mababu zetu waliabudau kama wafanyavyo wachina,waarabu,wahindi,wayahudi,n.kHakuna "Anazaleti"❌ Aliye Hai,,,Bali Aliye Hai Ni Yesu Kristu Wa "Nazaleti"☑️,,Alafu Jitahidi Kuandika "Namkemea☑️"Na Sio "Namkeamea"❌
Uchinjwe xmas 😹😹kabisa. hili suala lipo kisaikolojia zaidi
nakumbuka nikiwa mdogo darasa la 3, nilipata kuwa flower boy kwenye harusi moja, flower girl alikuwa binti flani wa form 2
yule binti nilimuelewa sana kwa yale masaa machache tuliyokaa pamoja
nilikataa kurudi nyumbani, nilimlilia, mama yangu alinicheka sana
hapo ndo nikatambua napenda wanawake walionizidi umri
🤣🤣🤣-Sita mpe chakula, watu wazima hawana mambo mengi zaidi ya kula na kushiba.
Hakuna hoja hapo hata moja..Akina Atoto, FaizaFoxy, princess ariana, Be calm, BRAZA CHOGO, na leo dada waje kuthibitisha kama kweli hizo mbinu zinafanya kazi ili nami nizi put into practice.
Watu tajwa hapo juu mi hupenda kuwaita TBS kwenye nyanja hizi.
hali ipoje kwa sasakabisa. hili suala lipo kisaikolojia zaidi
nakumbuka nikiwa mdogo darasa la 3, nilipata kuwa flower boy kwenye harusi moja, flower girl alikuwa binti flani wa form 2
yule binti nilimuelewa sana kwa yale masaa machache tuliyokaa pamoja
nilikataa kurudi nyumbani, nilimlilia, mama yangu alinicheka sana
hapo ndo nikatambua napenda wanawake walionizidi umri
dalili hazijapotea ugonjwa haujaponahali ipoje kwa sasa