Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
mwenyekiti wa mishangaz taifadalili hazijapotea ugonjwa haujapona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyekiti wa mishangaz taifadalili hazijapotea ugonjwa haujapona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kape nafasi tu kawe kanakufyonzafyonza K.Nimetongozwa na ka underage jana,nikamwambia hivi unavyoniona unaweza nunua perfume ninayopaka?we mtoto mimi silei mtoto wa mwanamke mwenzangu.......Nikasema rohoni angjua ninavyopenda hela naweza nikamkubali nikauze Figo zake shenzy sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilipost mwaka jana au juzi, sasa hivi uzi wa masihara una milage kubwa sana, ila nikibahatika kukutana nayo nitaicopy na kuipest humu maana ni kastory flani hivi amizing sana.MKuu nitag kwenye hiyo stori yako jinsi ulivyokula kimasihara
Jo utakuwa una shepu la chunguNimetongozwa na ka underage jana,nikamwambia hivi unavyoniona unaweza nunua perfume ninayopaka?we mtoto mimi silei mtoto wa mwanamke mwenzangu.......Nikasema rohoni angjua ninavyopenda hela naweza nikamkubali nikauze Figo zake shenzy sana
Fanya namna nikapitie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilipost mwaka jana au juzi, sasa hivi uzi wa masihara una milage kubwa sana, ila nikibahatika kukutana nayo nitaicopy na kuipest humu maana ni kastory flani hivi amizing sana.
Jehanamu panakuita 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kape nafasi tu kawe kanakufyonzafyonza K.
Kama hakawezi kununua perfume naimani katakua na ustadi mkubwa wa kupiga deki.
Kazi ya marios wengi ndo hii. wameshageuka mapakamwitu😺😺kazi ni kupiga deki uvungu ili kuvuta upendokape nafasi tu kawe kanakufyonzafyonza K.
Nakazia,Tahadhari: njia hizi zitumike kwa mashangazi tu ambao hawajaolewa, kaa mbali na wake za watu kwa usalama wa marinda yako.
Mi mcheshi sana..Poor Brain wewe huwa unatumia mbinu gani kudaka mishangazi??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe utakua na nyota ya kuwaneemesha wenzio, yaani watu wananeemeka kupitia nyota yako halafu wewe uko palepale.Hii ni serious wala sio masihara, me hii inanikuta sana, kila dem ninaesex nae lazima maisha yake yanyooke
Naombeni elimu na ufafanuzi juu ya hili fumbo nililofumbwa
Mwenye uelewa anielezee , maana nikiwaelezea hapa JF kuhusu maisha ya maEx zangu na maisha yangu kwa sasa yako tofauti kabisa, hata kuwasogelea tu maana wameshakua high level zaidi yangu
Wewe kuna kitu unatafuta hapa ahahahahahha alaaaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe utakua na nyota ya kuwaneemesha wenzio, yaani watu wananeemeka kupitia nyota yako halafu wewe uko palepale.
Mimi kuna demu mmoja nilikua nae, siku nikimgonga hata kama ni jumapili lazima nipate dili la pesa ya maana, pia akinipiga mzinga lazima siku hiyohiyo nitaingiza pesa zaidi ya mara 10 ya niliyompa, pamoja na ubahili wangu lakini kuna kipindi mwenyewe natamani aniombe hela ingawa demu mwenyewe hakua mtu wa kuombaomba(kausha damu) siku akiomba ujue anashida kweli.
Kwa upande wangu pia nikianzisha uhusiano na mwanamke basi nyumbani kwao posa hua hazikauki hata kama demu mwenyewe ni single mother, mademu zangu wengi wanaolewa tukiwa kwenye mahusiano( hii sio promo na wala sitaki dm ya mtu yoyote)