Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

flamini

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
533
Reaction score
586
Habari,

Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit.

Msaada wakuu
 
Habari,

Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, western union au world remit.

Msaada wakuu
Bank wire, itachukua kati ya siku 2 mpaka 5 na gharama yake ni abiut $20
 
World remit si ndio rahisi ,mpunga unaingia apo apo tigo pesa au mpunga mrefu sana nini
Hii ndio ilikua chaguo langu,ila naona wamarekani wengi hawatumii hii inabidi niwashawishi..wao washazoea app zao nyingine
 
If all those options do not work, try delivering your funds by a trusted hands of someone.

I suggest using ME!!! 🙂
 
Mkuu.. hizo ulizozihorodhesha hapo ndio bora zaidi angaika na izo kwanza mkuu.. utafanikiwa
 
Tumia crypto currency hasa BTC, ni rahisi na salama, within 30 minutes unapata mpunga right on hand.
 
Back
Top Bottom