Njia rahisi ya kupunguza uzito unene(mabonge nyanya) uzito

Njia rahisi ya kupunguza uzito unene(mabonge nyanya) uzito

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
Moja ya malengo ya watu wengi kila unapoanza mwaka mpya ni kupunguza uzito wa mwilli,mafuta mwilini,ubonge nyanya,ukibonge manyama uzembe ,UTIPWA TIPWA,UKIPIPA ,U BIG, Ushangazi,limshangazi,ujomba kitambi.amaa KITUMBOO.

Wengi wamepoteza maisha kupitia kutumia dawa za mitishamba zisizothibitishwa ubora ili kusudi kupunguza mafuta mwilini,ama unene ama uzito,ama kitambi ,ubonge kwa njia ya DAWA ZA KUHARISHA SANA kama bomba la maji ili kupunguza unene.

Wengi wanashindwa kupunguza unene kwa kutumia virutubisho majani ya chai ya mchai chai na virutubishi na mbalimbali malimao n.k

NJIA MOJA NINAYOIFAHAMU ULIYONISAIDIA MIMI KUPUNGUZA UZITO TENA KWA HARAKA SANA NDANI YA MWEZI MMOJA TU

Njia hii nili igundua kwa bahati mbaya accidentaly nikiwa na lengo lingine kabisa,lakini nikapata na faida ya kupunguza mafuta,unene,kitambi,

Nikikuwa na maombi ya KUFUNGA KULA NA KUNYWA KWA SIKU TATU MFULULIZO yani giza linazama mara tatu unalala na njaa usiku tatu mfululizo na mchana tatu mfululizo.

nilikuwa naaombi maalumu,na kwa kweli nilipata matokeo kwanza nguvu ya maombi iliongezeka kwa maana muda wa maombi uliongezeka nilikuwa nasali bila kuchoka

lakini mwili wangu nilikuwa naona kama shoti ya umeme ama moto mwili mzima ninapo omba macho ya rohoni kupitia ndoto nikawa nawaona mpaka maadui wa kiroho wachawi kwa sura zao wanaojaribu kuja kuniwangia na nikawa nawaona na silaha walizoshika mkononi kama bastola bunduki(maana yake ni matunguli ya kichawi silaja za kichawi mana mchawi ndotoni anaweza akaonekana kama askari ama polisi na silaha zao kama mabunduki,kisu,mishale ,mikuki. n.k

nikawa nasali mpaka napata am ai ya moyo na vita vya ndotoni nikawa nashinda,nikawa nikilala naota ndoto nzuri
na kufanikisha mambo mbali mbali ya kiroho na kuepuka na ajali nilipata ajali ya barabarani lakini malaika wa Yesu waliniokoa siku umia hata chembe pamoja na kurushwa na kupinduka hewani/kubiringika hewani mara kadhaa kabla ya kutua chini lakini nilitua pembeni kwenye mchanga wa mtaro siku umia

Maombi yale yalinasidia.

KUFUNGA SIKU TAU KAVU KWA SIKU YA KWANZA ilikuwa changamoto ilifikia mpaka mke wangu alipiga simu kwa wazazi wangu akawaambia huyu mtoto wenu anafunga siku tatu kavu kwa mara y a kwanza bila kuonja maji wala chakula ,akidhirika msinilaumu nimemuambia aache anakataa,

lakini nikaja kurudia tena baada ya mwezi ,nikaja kurudia tena..

sasa hivi nimeshazoea tena hata nikiunga siku tatu kavu ,naendelea na kazi zangu kama kawaida siishiwi pawa wala hakuna anayeweza hata kujua kama nimefunga tifauti na siku ya kwanza nilipofika siku ya tatu nilichoka kidogo ila nikakazana na maombi.

HAKUNA NJIA RAHISI YA KUPUNGUZA UNENE ZAIDI YA KUFUNGA KULA

huwezi ukawa unabugia mavyakula kama nguruwe halafu unataka upungue kwa kunywa vimajani ya chai ..au malimao...kama unapenda kufakamia ma vyakula na huku unataka kupungua uzito..inakuwa mtihani ..

KIPITIA KUFUNGA UNAWEZA UKAPUNGUZA KILO NYINGI SANA KWA MUDA MFUPI..JARIBU UONE.
 
Mathayo 17:21
Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”]
Marko 9:29
Yesu akawajibu, “Pepo aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba [na kufunga].

Kufunga siku tatu mfululizo (bila kula wala kunywa) ni ibada au mazoezi ya kiroho yanayofanywa na watu wengi kwa malengo tofauti

.Malengo ya Kufunga Siku Tatu

Kiroho: Katika Ukristo, mfano wa Biblia ni "Mfungo wa Esta" ambapo watu waliomba msaada na ulinzi wa Mungu.
(Kisha mfunge mfungo kwa ajili yangu mimi na kuniombea, msile, wala msinywe siku tatu usiku na mchana! Mimi nami nitafunga hivyo pamoja na vijana wangu )

Afya (Autophagy): Kisayansi, mfungo mrefu husaidia mwili kujisafisha kwa kuharibu seli zilizochoka.

Kutubu: Kutafuta msamaha na kufanya mabadiliko ya tabia.
 
Mtu yeye anataka kupunguza mafuta unene uzito uliozidi ambao ni excessive calories ambazo zinakuwa stored kama adipose tissue(YANI UNENE NI MAVYAKULA YALIYOTUNDIKANA MWILINI)

mtu huyo huyo bado anabugia mavyakula kama ana BINGE EATING DISORDER kila muda anatafuna bites ana njaa za hapa na hapa anasingizia asasi nina ulcers

Yani una NDOO iliyojaa maji yakafurika (mwili wako umejaa STOO STOCKI shehena ya ma excessive CALORIEES ndio mana UKAWA CHIBONGE.

at the same time unataka kupunguza maji kwenye ndoo iliyo jaa maji huku bado unaongeza mani kwenye hiyo ndoo.
ITAWEZEKANA vipi UFANYE HESABU YA KUTOA (MINUS eliminate;minus -) kwa KUJUMLISHA (plus +) kwa tendo la kujumlisha.

tendo la kutoa na tendo la kujumlisha ni opposite vinapingana ni kinyume

wewe lengo lako ni kupunguza mabaki ya mavyakula yaliyozidi mwilini ,lakini hutaki FASTING kuacha kula ,ila unataka MATOKEO??

Kupunguza uzito kwa njia ya mazoezi ni kazi sana ,na mazoezi yake si ya kitoto na si ya muda mfupi..INABIDI JASHO LIKUTOKE ..ili ku burn hiyo fat si mchezo

kunywa vimaji maji majani ya chai michai chai sijui supplement sijui dawa mbadala mara za kisuna kisabato..utajikuta unapunguza uzito kinukta ..kwa gharama kubwa na kwa muda mrefu.

NJIA YA UHAKIKA YA HARAKA YENYE MATOKEO MAKUBWA NA YA HARAKA ISIYOKUWA NA GHARAMA YEYOTE ILI KUKATA WEIGHT NA WESE MAFUTA MWILINI....NI FASTING KUFUNGA KULA TU...📌
 
Kufunga siku, tatu? yani ukianza sasa hivi mpaka jumutano saa 2 ndio nile au!
unahesabu tu umelele usiku tatu bila kunywa wala kula yani usiku tatu unalala na mchana tatu,...kwa mara ya kwanza unaweza ukachoka kidogo siku ya 2 na ya tatu,hasa kama hujawahi kufunga kabisa hata hizi nusu siku ..

so ni vizuri ukaanza kujizoeza kwa kuanza kufunga nusu siku yaani masaa 12 ,hii unakulanna kunywa mara moja kwq siku tu hata kwa wiki moja kwanza kabla ya kufunga siku hizo TATU KAVU.

ukizoea utakuwa unafunga siku tatu kavu hata kila mwezi au kila baada ya miezi miwili...na utafurahia yani inafanya mwili ujisikie vizuri unakuwa mwepesi kimwili ila na nguvu kubwa kiroho na hata maombi unaomba mda mrefu na unasikia furaha na amani moyoni hata WACHAWI UNAANZA KUWAONA NA SURA ZAO KABISA..macho ya kiroho yanafunguka
nguvu ya malaika na uwepo wa malaika karibu yako unaanza kuona

mwili wako unakuwa kama unawaka moto aua unaoiga shoti ya umeme unapokuwa unasali na kuomba ukiwa UMEFUNGA hii ya siku tatu,halafu hata njaa huisikii tena ,na UNATAMANI uendelee tu kufunga unajisikia vizuri.

KUNA WANAWEZA KUFUNGA ZAIDI YA SIKU TATU KAVU wapo wanafunga zaidi ya siki tatu kavu wapo wanaweza,ila mimi nimeishia tatu tu,ila nawajua watu wanaofunga zaidi ya siku tatu kavu wapo.
 
.
 

Attachments

  • images - 2026-08-23T082901.065.jpeg
    images - 2026-08-23T082901.065.jpeg
    47.2 KB · Views: 15
  • images - 2026-08-23T084555.413.jpeg
    images - 2026-08-23T084555.413.jpeg
    44.8 KB · Views: 20
  • images - 2026-08-05T204842.918_1.jpeg
    images - 2026-08-05T204842.918_1.jpeg
    32.6 KB · Views: 17
  • images - 2026-08-05T230324.610.jpeg
    images - 2026-08-05T230324.610.jpeg
    10.9 KB · Views: 16
  • images - 2026-07-06T192154.356.jpeg
    images - 2026-07-06T192154.356.jpeg
    9.6 KB · Views: 19
  • images - 2026-07-05T223053.554.jpeg
    images - 2026-07-05T223053.554.jpeg
    27.4 KB · Views: 19
  • images - 2026-06-30T222355.474.jpeg
    images - 2026-06-30T222355.474.jpeg
    8.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260805-230553_1.jpg
    Screenshot_20260805-230553_1.jpg
    118.4 KB · Views: 18
Mara ya kwanza siku ya kwanza nimemuambia wife nafunga siku tatu kavu...ALIPIGA SIMU NYUMBANI kunishitaki kwa wazazi wangu..akasema nikipatwa matatizo wasimlaumu..amenikataza NIMEKATAA.

ILA SIKU HIZI NIKIMWAMBIA NAFUNGA SIKU TATU..WALA HASHITUKI...anajua hakuna madhara yoyote wala haogopi..NA KAZINI NAENDA tena nafanya kazi muda mrefu kuliko kawaida ,,na wala huwezi kujua kama nimefunga nakuwa KAWAIDA TU na nguvu nyingi very ACTIVE kuliko hata ambao hawajafunga.

INAWEZEKANA hata wanawanake wanafunga inawezekana kwa watu wote.
KUNA TOFAUTI unaposali na kuomba kuna tofauti kwenye nguvu ya maombi kati ya mtu aliyefunga na kuomba na anayeomba HAJAFUNGA kuna tofauti KUBWA SANA.
 
Kuna vimbegu kama karanga vinapunguza uzito shida unaharisha balaaa
 
Back
Top Bottom