Moja ya malengo ya watu wengi kila unapoanza mwaka mpya ni kupunguza uzito wa mwilli,mafuta mwilini,ubonge nyanya,ukibonge manyama uzembe ,UTIPWA TIPWA,UKIPIPA ,U BIG, Ushangazi,limshangazi,ujomba kitambi.amaa KITUMBOO.
Wengi wamepoteza maisha kupitia kutumia dawa za mitishamba zisizothibitishwa ubora ili kusudi kupunguza mafuta mwilini,ama unene ama uzito,ama kitambi ,ubonge kwa njia ya DAWA ZA KUHARISHA SANA kama bomba la maji ili kupunguza unene.
Wengi wanashindwa kupunguza unene kwa kutumia virutubisho majani ya chai ya mchai chai na virutubishi na mbalimbali malimao n.k
NJIA MOJA NINAYOIFAHAMU ULIYONISAIDIA MIMI KUPUNGUZA UZITO TENA KWA HARAKA SANA NDANI YA MWEZI MMOJA TU
Njia hii nili igundua kwa bahati mbaya accidentaly nikiwa na lengo lingine kabisa,lakini nikapata na faida ya kupunguza mafuta,unene,kitambi,
Nikikuwa na maombi ya KUFUNGA KULA NA KUNYWA KWA SIKU TATU MFULULIZO yani giza linazama mara tatu unalala na njaa usiku tatu mfululizo na mchana tatu mfululizo.
nilikuwa naaombi maalumu,na kwa kweli nilipata matokeo kwanza nguvu ya maombi iliongezeka kwa maana muda wa maombi uliongezeka nilikuwa nasali bila kuchoka
lakini mwili wangu nilikuwa naona kama shoti ya umeme ama moto mwili mzima ninapo omba macho ya rohoni kupitia ndoto nikawa nawaona mpaka maadui wa kiroho wachawi kwa sura zao wanaojaribu kuja kuniwangia na nikawa nawaona na silaha walizoshika mkononi kama bastola bunduki(maana yake ni matunguli ya kichawi silaja za kichawi mana mchawi ndotoni anaweza akaonekana kama askari ama polisi na silaha zao kama mabunduki,kisu,mishale ,mikuki. n.k
nikawa nasali mpaka napata am ai ya moyo na vita vya ndotoni nikawa nashinda,nikawa nikilala naota ndoto nzuri
na kufanikisha mambo mbali mbali ya kiroho na kuepuka na ajali nilipata ajali ya barabarani lakini malaika wa Yesu waliniokoa siku umia hata chembe pamoja na kurushwa na kupinduka hewani/kubiringika hewani mara kadhaa kabla ya kutua chini lakini nilitua pembeni kwenye mchanga wa mtaro siku umia
Maombi yale yalinasidia.
KUFUNGA SIKU TAU KAVU KWA SIKU YA KWANZA ilikuwa changamoto ilifikia mpaka mke wangu alipiga simu kwa wazazi wangu akawaambia huyu mtoto wenu anafunga siku tatu kavu kwa mara y a kwanza bila kuonja maji wala chakula ,akidhirika msinilaumu nimemuambia aache anakataa,
lakini nikaja kurudia tena baada ya mwezi ,nikaja kurudia tena..
sasa hivi nimeshazoea tena hata nikiunga siku tatu kavu ,naendelea na kazi zangu kama kawaida siishiwi pawa wala hakuna anayeweza hata kujua kama nimefunga tifauti na siku ya kwanza nilipofika siku ya tatu nilichoka kidogo ila nikakazana na maombi.
HAKUNA NJIA RAHISI YA KUPUNGUZA UNENE ZAIDI YA KUFUNGA KULA
huwezi ukawa unabugia mavyakula kama nguruwe halafu unataka upungue kwa kunywa vimajani ya chai ..au malimao...kama unapenda kufakamia ma vyakula na huku unataka kupungua uzito..inakuwa mtihani ..
KIPITIA KUFUNGA UNAWEZA UKAPUNGUZA KILO NYINGI SANA KWA MUDA MFUPI..JARIBU UONE.