Lucas hamia chadema kama miaka miwili hv then vua gwandaLucas Mwashambwa ni ya kweli Haya?
Hiyo ni njia moja, lakini kuna zaidi ya hiyoKama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba,
Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha zogo na viongozi wako wa chadema,halafu vua gwanda hamia CCM,yaani vyeo huruma upendo na kuthaminiwa vitakutafuta,si mnamuona huyu aliyejipaga jinsi anavyo hudumiwa na kupewa upendo
CCM haigawi vyeo kama njugu au karanga. CCM inatoa majukumuLucas Mwashambwa ni ya kweli Haya?
Hiyo haiwezekani hata kwa Dawa.Lucas hamia chadema kama miaka miwili hv then vua gwanda
Tukupe ushahidiCCM haigawi vyeo kama njugu au karanga. CCM inatoa majukumu