Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Shukran kwa elimuSio kweli na nikutoe wasiwasi,nimeitumia sana. Kitakachofanya akonde ni pale atakapokosa chakula bora (chenye viini lishe vyote muhimu) na maji. Hivi ni vitu vya msingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran kwa elimuSio kweli na nikutoe wasiwasi,nimeitumia sana. Kitakachofanya akonde ni pale atakapokosa chakula bora (chenye viini lishe vyote muhimu) na maji. Hivi ni vitu vya msingi sana.
Aina ya kiota na kuku mwenyewe ndo issues za kuchunga pamoja na niliyoyaeleza awali. Hakikisha kiota kinahifadhi joto la kutosha kwa kuweka matandiko laini na ya kutosha. Kuna kuku wamaangua hadi mayai 14. Hata hivyo nikubaliane na uzoefu wako wa kuatamisha 10.Hii kitu is possible, but kwa mayai kumi na mbili naona...I would suggest mayai kumi tu.
Uzoefu unaonyesha mara nyingi huwa kuna mayai mawili au moja huwa linabaki bila kutotolewa.
iti hakuna wajenzi,mimi nina eneo la kutosha lakini siwezi kufuga kwani sina washuhulikiaji,wife ayupo inretested kabisa na hayo mambo,watot bado wadogo,wadogo zangu masharo balaa eti wanaogopa mavi ya kuku,mm naenda kazini asubihi kurudi usiku,pumbavu sana hawa watu,nilijenga mibanda imekaa tu saa hizi wanalaala mbu na mende ,ndio ninao fuga,nilijaribu kufuga lkn nilishindwa na kuku wote walikufa na kuibiwa pia ,pumbavu zao na zangu pia maana najuta kujenga mibanda kwa fujo,Usiseme hivyo mkuu wengine hayo maeneo ya kufugia hawana wamepanga vyumba
Moja ya kigezo cha mtu kuonekana ana upendo wa Mungu moyoni ni pale anapoamua kufuga. Mifugo haiongei au kudai mahitaji,lakini inatimiziwa kama una upendo wa kuthamini viumbe wa Mungu. Waeleze ndugu zako,watakosa fadhila kwa Mungu muumba kwa kukataa kuhudumia viumbe wa Mungukwenye m
iti hakuna wajenzi,mimi nina eneo la kutosha lakini siwezi kufuga kwani sina washuhulikiaji,wife ayupo inretested kabisa na hayo mambo,watot bado wadogo,wadogo zangu masharo balaa eti wanaogopa mavi ya kuku,mm naenda kazini asubihi kurudi usiku,pumbavu sana hawa watu,nilijenga mibanda imekaa tu saa hizi wanalaala mbu na mende ,ndio ninao fuga,nilijaribu kufuga lkn nilishindwa na kuku wote walikufa na kuibiwa pia ,pumbavu zao na zangu pia maana najuta kujenga mibanda kwa fujo,
USHAURI PLEASE
Umefukua huu uzingoja nikanunue kuku wa mbegu fasta
Mkuu kama sijakuelewa hapo kwenye kutia pumba kwenye kiota maana nijuavyo pumba ni chakula cha kuku.Kwa wale wafugaji wa kuku wa kienyeji na wasio na uwezo wa kupata artificial incubators, fuata njia hii kutotolesha vifaranga vingi katika kipindi kifupi.
- Uwe na majike kadhaa wanaotaga (mfano 40)
- kusanya mayai yatakayotagwa ndani ya wiki 2 (yatunze vizuri yasiharibike)
- Kawaida kuku wa kienyeji hutaga mayai 12-14 kabla ya kupumzika kutaga (kutaka kuatamia)
- Kuku atakaenyesha dalili za kutaka kuatamia katika kundi,mwekee yai moja aatamie
- Endelea vivyohivyo kwa kuku watakaoonyesha kuatamia hadi watakapofikia idadi kuku 10
- Andaa chumba kizuri chenye mwanga,kisafi na nafasi ya kutosha kukaa kuku 10 bila kubanana
- Katika chuma hicho,weka viota (nests) 10- unaweza kutumia boksi ndogo,tia mchanga laini,na tandaza majani laini au pamba juu ya mchanga.
- Chukua mayai,yapange ndani ya viota hivyo (mayai 12 kila kiota)
- Chukua kuku wale 10,wapange katika viota hivyo. Yai moja kila kuku waliokuwa nayo,yatupe.
- Kwenye chumba hicho,weka vyombo vya maji na maji,vyombo vya chakula (chenye mchangayiko mzuri),pia usisahau kuweka dawa ya kuzuia wadudu (viroboto,utitiri nk)
- Baada ya siku 21, mayai yataanguliwa (90%-98%). Wanyanganye kuku vifaranga vyote,na vihamishie kwenye artificial brooder (sehemu ya joto ya kukuzia vifaranga). Wakati unaondoa vifaranga,rudishia mayai mengine kwa idadi ile ile na kuku walewale.
- Nashauri ufanye mizunguko ya aina hiyo 3,ndo uwapumzishe kuku au kubadilisha wengine.
- Kwa hesabu rahisi, kuku 10 @ vifaranga 12 = vifaranga 120 (siku 21), na ukirudia ni vifaranga 240 (siku 42) sawa na vifaranga 362 (siku 63=miezi 2). Hii ina maana kama utatumia kuku 20 kuatamisha, utakuwa na vifaranga 724 ndani ya miezi 2.
- Kama vifaranga hivi vitatunzwa vizuri (mada itakuja wiki ijayo) baada ya miezi 2 ya kukua, kwa bei ya soko ni Tsh 3,000/= kwa kifaranga kimoja x 724 (endapo hakuna vifo) = 2,172,000/=
- Kwa kuku wa kienyeji ambao kwa sehemu kubwa hawahitaji gharama kubwa ya chakula na madawa 25-30% ni gharama za madawa na chakula cha ziada.
- Ukifanya tahmini utagundua kuna faida kubwa. Karibuni tupunguze au kuondoa kabisa umasikini wa kipato
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.Mkuu kama sijakuelewa hapo kwenye kutia pumba kwenye kiota maana nijuavyo pumba ni chakula cha kuku.
Si atazimaliza?
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.
Pole kwa usumbufu wa lugha.
Mkuu msaada wa picha za mabanda ya kukuKwa wale wafugaji wa kuku wa kienyeji na wasio na uwezo wa kupata artificial incubators, fuata njia hii kutotolesha vifaranga vingi katika kipindi kifupi.
- Uwe na majike kadhaa wanaotaga (mfano 40)
- kusanya mayai yatakayotagwa ndani ya wiki 2 (yatunze vizuri yasiharibike)
- Kawaida kuku wa kienyeji hutaga mayai 12-14 kabla ya kupumzika kutaga (kutaka kuatamia)
- Kuku atakaenyesha dalili za kutaka kuatamia katika kundi,mwekee yai moja aatamie
- Endelea vivyohivyo kwa kuku watakaoonyesha kuatamia hadi watakapofikia idadi kuku 10
- Andaa chumba kizuri chenye mwanga,kisafi na nafasi ya kutosha kukaa kuku 10 bila kubanana
- Katika chuma hicho,weka viota (nests) 10- unaweza kutumia boksi ndogo,tia mchanga laini,na tandaza majani laini au pamba juu ya mchanga.
- Chukua mayai,yapange ndani ya viota hivyo (mayai 12 kila kiota)
- Chukua kuku wale 10,wapange katika viota hivyo. Yai moja kila kuku waliokuwa nayo,yatupe.
- Kwenye chumba hicho,weka vyombo vya maji na maji,vyombo vya chakula (chenye mchangayiko mzuri),pia usisahau kuweka dawa ya kuzuia wadudu (viroboto,utitiri nk)
- Baada ya siku 21, mayai yataanguliwa (90%-98%). Wanyanganye kuku vifaranga vyote,na vihamishie kwenye artificial brooder (sehemu ya joto ya kukuzia vifaranga). Wakati unaondoa vifaranga,rudishia mayai mengine kwa idadi ile ile na kuku walewale.
- Nashauri ufanye mizunguko ya aina hiyo 3,ndo uwapumzishe kuku au kubadilisha wengine.
- Kwa hesabu rahisi, kuku 10 @ vifaranga 12 = vifaranga 120 (siku 21), na ukirudia ni vifaranga 240 (siku 42) sawa na vifaranga 362 (siku 63=miezi 2). Hii ina maana kama utatumia kuku 20 kuatamisha, utakuwa na vifaranga 724 ndani ya miezi 2.
- Kama vifaranga hivi vitatunzwa vizuri (mada itakuja wiki ijayo) baada ya miezi 2 ya kukua, kwa bei ya soko ni Tsh 3,000/= kwa kifaranga kimoja x 724 (endapo hakuna vifo) = 2,172,000/=
- Kwa kuku wa kienyeji ambao kwa sehemu kubwa hawahitaji gharama kubwa ya chakula na madawa 25-30% ni gharama za madawa na chakula cha ziada.
- Ukifanya tahmini utagundua kuna faida kubwa. Karibuni tupunguze au kuondoa kabisa umasikini wa kipato
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.
Pole kwa usumbufu wa lugha.
Mkuu, nikupe hints chache.Nipende kukushukuru kwa ushauri huu mkuu,, but kama sijakuelewa mahali maana umesema uwe na kuku at least 40 then kila mmoja atage kama wiki 2 means awe na mayai 10 kila mmoja at least so mayai yatakua kama 400
Then ukasema uweke kuku 10 kila mmoja umuwekee mayai 12 means utakua umetumia mayai 120 pekee so swali langu ni vipi kuhusu hayo mengine yatakayobaki maana kama yakikaa zaidi ya wiki mbili huku ukisubiri hao kuku walioatamia watotoe ili uwawekee hayo mengine means yataharibika, sorry kwa swali refu lakini naomba ufafanuzi please nielewe vizuri
Mkuu, nikupe hints chache.
1. Nimetumia neno at least, kuwa wanaweza kuwa zaidi.
2. Katika kuku 40, siyo wote watataga kwa pamoja kila siku.
3. Katika mayai yatakayotagwa, siyo yote yatakuwa na ubora wa kuatamisha.
4. Muda wa wiki mbili ni maximum kwa ubora wa yai kuanguliwa.
5. Of course kuna mayai mengine yatauzwa kabla ya next round ya uatamishaji, ila yatakayoatamishwa yawe yametagwa latest si zaidi ya wiki 2.
5. Tumia kalamu ya penseli kunote kwenye yai tarehe ya kutagwa , na uhifadhi kwa mpangilio.
Asante.
Mkuu, nitaiweka karibuni. Asante kwa kunikumbusha