Njia rahisi ya kutotolesha vifaranga vingi bila kutumia mashine (incubators)

Sio kweli na nikutoe wasiwasi,nimeitumia sana. Kitakachofanya akonde ni pale atakapokosa chakula bora (chenye viini lishe vyote muhimu) na maji. Hivi ni vitu vya msingi sana.
Shukran kwa elimu
 
Hii kitu is possible, but kwa mayai kumi na mbili naona...I would suggest mayai kumi tu.
Uzoefu unaonyesha mara nyingi huwa kuna mayai mawili au moja huwa linabaki bila kutotolewa.
 
Hii kitu is possible, but kwa mayai kumi na mbili naona...I would suggest mayai kumi tu.
Uzoefu unaonyesha mara nyingi huwa kuna mayai mawili au moja huwa linabaki bila kutotolewa.
Aina ya kiota na kuku mwenyewe ndo issues za kuchunga pamoja na niliyoyaeleza awali. Hakikisha kiota kinahifadhi joto la kutosha kwa kuweka matandiko laini na ya kutosha. Kuna kuku wamaangua hadi mayai 14. Hata hivyo nikubaliane na uzoefu wako wa kuatamisha 10.
 
kwenye m
Usiseme hivyo mkuu wengine hayo maeneo ya kufugia hawana wamepanga vyumba
iti hakuna wajenzi,mimi nina eneo la kutosha lakini siwezi kufuga kwani sina washuhulikiaji,wife ayupo inretested kabisa na hayo mambo,watot bado wadogo,wadogo zangu masharo balaa eti wanaogopa mavi ya kuku,mm naenda kazini asubihi kurudi usiku,pumbavu sana hawa watu,nilijenga mibanda imekaa tu saa hizi wanalaala mbu na mende ,ndio ninao fuga,nilijaribu kufuga lkn nilishindwa na kuku wote walikufa na kuibiwa pia ,pumbavu zao na zangu pia maana najuta kujenga mibanda kwa fujo,
USHAURI PLEASE
 
K Moja ya kigezo cha mtu kuonekana ana upendo wa Mungu moyoni ni pale anapoamua kufuga. Mifugo haiongei au kudai mahitaji,lakini inatimiziwa kama una upendo wa kuthamini viumbe wa Mungu. Waeleze ndugu zako,watakosa fadhila kwa Mungu muumba kwa kukataa kuhudumia viumbe wa Mungu
 
Mkuu kama sijakuelewa hapo kwenye kutia pumba kwenye kiota maana nijuavyo pumba ni chakula cha kuku.
Si atazimaliza?
 
Mkuu kama sijakuelewa hapo kwenye kutia pumba kwenye kiota maana nijuavyo pumba ni chakula cha kuku.
Si atazimaliza?
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.
Pole kwa usumbufu wa lugha.
 
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.
Pole kwa usumbufu wa lugha.

Mkuu uliweka mada ya jinsi ya kutunza vifaranga? Kwangu hii ni changamoto kubwa sana.
 
Mkuu msaada wa picha za mabanda ya kuku
 
Nipende kukushukuru kwa ushauri huu mkuu,, but kama sijakuelewa mahali maana umesema uwe na kuku at least 40 then kila mmoja atage kama wiki 2 means awe na mayai 10 kila mmoja at least so mayai yatakua kama 400

Then ukasema uweke kuku 10 kila mmoja umuwekee mayai 12 means utakua umetumia mayai 120 pekee so swali langu ni vipi kuhusu hayo mengine yatakayobaki maana kama yakikaa zaidi ya wiki mbili huku ukisubiri hao kuku walioatamia watotoe ili uwawekee hayo mengine means yataharibika, sorry kwa swali refu lakini naomba ufafanuzi please nielewe vizuri
Mkuu nieleweke ni pumba zinazotoka kwenye kuranda mbao, au pumba ngumu za mpunga. Hizi haziliwi na kuku.
Pole kwa usumbufu wa lugha.
 
Mkuu, nikupe hints chache.
1. Nimetumia neno at least, kuwa wanaweza kuwa zaidi.
2. Katika kuku 40, siyo wote watataga kwa pamoja kila siku.
3. Katika mayai yatakayotagwa, siyo yote yatakuwa na ubora wa kuatamisha.
4. Muda wa wiki mbili ni maximum kwa ubora wa yai kuanguliwa.
5. Of course kuna mayai mengine yatauzwa kabla ya next round ya uatamishaji, ila yatakayoatamishwa yawe yametagwa latest si zaidi ya wiki 2.
5. Tumia kalamu ya penseli kunote kwenye yai tarehe ya kutagwa , na uhifadhi kwa mpangilio.
Asante.
 
Asante Sana mkuu, nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…