WAAFRIKA NI WAJINGA SANA!,HIVI KUNA BINADAMU WANAOSHIRIKIANA NA MAJINI KULIKO WAZUNGU???
N.B.
****
ISHINI SEHEMU NA NCHI MBALIMBALI MUONE MAAJABU
ii
ASILI ya malaika si wanaume wala si wanawake isipokuwa wamepewa uwezo wa kujibadilisha umbo lolote.Na mara nyingi wanapotokea huja na taswira ya kiume.
Hapa hakuna cha Damu ya Yesu wa Nazarethi wala damu yako Mkuu Kaunga Hapa ni mahali pa kumuita Jini na kutaka kuzungumza nae na umwambie shida zako ili akutekelezee unavyotaka.Kuna nyuzi kabla ya kufungua wala kukoment inabidi ujifunike na Damu ya Yesu. Hii ni moja wapo, msipoangalia mnaweza kuwa connected kwenye cult ya mleta mada hivi hivi.
Naharibu na kuteketeza nia, mpango, madhumuni yalio nyuma ya uzi huu kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth na Moto wa Roho Mtakatifu.
Naituma Damu ya Yesu Krito kuteketeza madhabahu anayoitumia mleta mada na ninamtia upofu na uwete kuhani wa madhabahu hiyo kwa Damu ya Mwanakondoo wa Mungu ambaye ndiye Kuhani Mkuu.
Naifunika comment hii kwa Damu ya Yesu Kristo wa Nazareth.
Amina.
Simu yangu ina uwezo wa kuwasikiliza watu 3 kwa wakati mmoja usiwe na wasiwsi wewe muite huyo Jini akija tu nipigie hiyo namba yangu na mimi nitakuja kukusaidia. Mkuu einstein newtonmangatara kuna sehemu moja ndiyo inayochekesha zaidi kwenye huu uzi
baada ya kuyakurupusha hayo MAZOMBI inabidi umpigie simuMziziMkavu
sasa watu wangapi watampigia simu ndani ya wakati mmoja?Na kama asipokuja utayambia nini hayo MAJITU?