Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

Njia Rahsi za Kumwita Jini Mpole na Kumuamrisha unayoyataka na atakufanyia.

einstein newton;
Yaani masharti ya hawa jamaa wenye kujiona wamebobea kiuganga ni magumu sijawahi ona. Hapo sasa, wawe wameyaitisha hayo makitu, mara ghafula yameingizana. Uanze kuutafuta mtandao wa Voda, umechukua lisaa, hiyo nyumba MziziMkavu, si tutakuachia?

Teh teh teh

Ila Mkuu usikate tamaa,jaribu tu
sikasema ni Jini Mpole?hana madhara huyo...

teh teh teh
 
Kafie mbali qaafir mkubwa ww eti ( inshaallah) ata huna haya mshirikina ww
 
c kila kitu cha kujarb unaweza kujiingiza kwenye maagano ambayo hutoweza kujitoa.
 
Hili jipu c lakuangaliwa jamni.... Kutumbuliwa kunakuhusu
 
Kumuita jini sio ushirikina, ni moja kati ya ilmu za siri sana. Huwezi kuikuta juujuu tu kama wengi wanavyosema. Nina hakika hakuna hata. mmoja humu aiowahi kumuita jinn ila porojo tu.
 
Kumuita jini sio ushirikina, ni moja kati ya ilmu za siri sana. Huwezi kuikuta juujuu tu kama wengi wanavyosema. Nina hakika hakuna hata. mmoja humu aiowahi kumuita jinn ila porojo tu.

unasound kama wewe ni mkufunzi ktk hii makitu....
 
Malaika si wanawake wala si wanaume,hawali wala hawanywi,na wala hawana matamanio.Hawana sifa ya kumuasi Mwenyezi Mungu na wanafanya kila wanachoaagizwa na Mola wao,Hawa wametakaswa;hawashiriki kwenye batili.
tukitumia biblia kama chanzo, walioenda kuchoma sodoma, kabla ya kufika kwa rutu walipiga msosi kwa sara na walikuwa jinsia ya kiume.
labda kama biblia yangu imeongezwa maneno.
 
HORSE POWER,kuna Baadhi ya watu hawawezi kufikiria jinsi kitu kipya kilivyo bila kukifananisha na kitu kilichopo
Sasa watu kama hao, ni vigumu sana kuelewa unachokisema kwasababu hawawezi kufikiria nje ya Box

kiufupi hakuna sehemu yoyote katika vitabu vya dini inayo acknowledge jinsia ya MALAIKA AU MAJINI

fikiri ndani ya box kabla ya kutoka humo, chanzo cha wamoefili (majitu) ni wana wa Mungu (malaika) kuwaka tamaa kwa mabinti wa Adam waliozidi kuwa warembo.
 
Last edited by a moderator:
tukitumia biblia kama chanzo, walioenda kuchoma sodoma, kabla ya kufika kwa rutu walipiga msosi kwa sara na walikuwa jinsia ya kiume.
labda kama biblia yangu imeongezwa maneno.

HAWAKULA mkuu,mpaka nabii Ibrahim akwauliza "mbona hamli?" Nao wakamjibu "sisi sio watu,sisi ni malaika."
 
Malaika si wanawake wala si wanaume,hawali wala hawanywi,na wala hawana matamanio.Hawana sifa ya kumuasi Mwenyezi Mungu na wanafanya kila wanachoaagizwa na Mola wao,Hawa wametakaswa;hawashiriki kwenye batili.

1/3 ya malaika wote ni waasi kulingana ma Biblia.
 
Samahani katika imani yako inaruhusiwa mwanadamu kupata msaada kutoka kwa jini?je unavyowafundisha watu kupata misaada kutoka kwa jini,unadhani watamtumaini Mungu au ndiyo watakimbilia kwa majini?

Mbona unapata msaada kutoka kwa binadamu mwenzako??

Je binadamu akikusaidia imani yako juu ya Mungu inaisha??
 
kweli mkuu, ila walikuwa wanaume!

Nilitarajia ungeuliza hilo mkuu! NI kweli walikua wanaume.Moja ya uwezo mkubwa waliopewa hawa malaika ni KUJIBADILISHA UMBO LOLOTE wanalotaka kulingana muktadha husika.Hawatokei mahali kwa maumbo yao ya asili.
 
Mbona unapata msaada kutoka kwa binadamu mwenzako??

Je binadamu akikusaidia imani yako juu ya Mungu inaisha??

Hujamjibu swali lake.Kwanza hakuna tatizo kwa binadamu kuomba msaada kwa binadamu mwenziwe kwani hata Mwenyezi Mungu anasisitiza kusaidiana na kuna malipo makubwa mbele yake.
Anachouliza huyo bwana ni kuhusu binadamu kushirikiana na majini.Hili suala LIMEKATAZWA kwani hawa majini wengi wao ni mashetani ambao wana mission moja kubwa ya kuwatia watu kwenye KUFURU na USHIRIKINA.
 
Back
Top Bottom