pleo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 3,444
- 2,737
Malaika wa kike wapo ila hawahitajiki kuitwa kwa kuwa hawaishi gizani na hawana mawaa kwahiyo wapo na tunao katika maisha yetu ya kila siku kila saa kila dakika na kila sekunde
Tunaambiwa Mara nyingi kuna malaika mlinzi lakini je ulishawahi kusikia kuhusu jini mlinzi?
najaribu kuelewa ila nashindwa, kwa kuwa siwaoni ningependelea kuwaona kufikisha yangu ya moyoni kwa malaika, kama atanielewa.
mu majini siwaamini kivile, hata vitabu vinatutaadharisha.