Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,231
Mkuu wewe ni mjanja sana,na kama mtu hajui vizuri unamteka kirahisi.Nimetoa mfano wa wanaume kuhesabiwa tu ,sikumanisha hawakuwepo wanawake.Tatizo umeshindwa kunielewa,nilikuwa najaribu kutokukupinga hoja yako,nikimanisha inawezekana malaika wa kike walikuwepo/wapo ila Mungu alitumia wa kiume tu.Sasa wewe unafanya issue of discussion,uwe unasoma ninavyoandika kwa umakini mkuu ili tuelewane.Niko najisomea mambo ya Buddhism hapa ili niweze mrudisha Jimema.Binafsi sijawahi kumwazia malaika in the sense of gender, kwa kuwa nijuavyo ni roho na anaweza kuvaa umbo lolote....lakini pia wakati wa Bible waliohesabiwa ni wanaume tu hii haimaanishi kwamba wanawake hawakuwepo
Mkuu wewe fanya unayofanya,at any time there is always people to be fooled.Nilikuwa nasoma kitabu fulani,je ni harari kwa muislam kutaka msaada kutoka kwa jinn?Soma hapa,hapa si penye hicho kitabu bali panaweza pakakusaidia.
Sikutafuta information kama ni harari kwa mkristu kwani for christians kwa imani yake "hakuna ushirika kati ya giza na nuru".