Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hujamaliza tu research yako msata! Ukimaliza unitumie nisome hizo findings kabla hujapublish
Hahahahahhhhhhhaaaaa mwisho ni mwezi huu aisee kwema lakini huko?ukuje pm
![]()
LEO nawafundisha njia fupi ya kumwita JINI mpole Kisha mwambie haja zako. nunua aina ya taa
Za chemli mbili weka utambi wa Sanda iwe kama tambi kila chemli weka mafuta ya taa kipimo cha
vikombe vya kahawa kila chemli weka vikombe saba saba Kisha ktk kila tundu LA chemli weke mchanga wa kaburi kidogo kidogo kwa manuwizi Kisha washa taa zako na tundika taa hizo
pembezoni mwa dirisha lako kama unavyo ona hapo ktk picha. Baada ya kuweka chukua kizulia....... Kisafi na pia kiwe ktk Hali ya usafi kiweke katikati ya chumba hicho kissha washa taa hizo baada
yaykuwasha kiti hapo ktk zulia huku umevaa nguo ambazo si nyeusi ama vaa kanzu ama nguo yoyote nyeupe. Alafu keti chini piga makofi Mara saba baada ya hapo toka nje ya chumba funga
vema chumba baada ya kutoka utasikia sauti mbili za njiwa wakiunguruma Kisha nipigie simu ukiwa nje nikupe muhutasari wa siri na maneno maalumu. Inshaallh. +255757 40 77 77. Jina langu TIBA Mbadala 77
Siku utakayokuja kushushwa maziwa kifuani asijulikane ndani huko nani mama nani baba ndio utajua ulozi upo
HORSE POWER watu washapotezwa na mengine mabaya zaidi kuzidi hiliHuu ni UCHAWI na USHIRIKINA wa wazi kabisa.Ndugu yangu achana na hayo mambo na acha KUPOTEZA wengine.
Duuh kwa hiyo mkuu,kwa kuwa walishapotezwa na mengine mabaya zaidi na wewe unapitia hapohapo?HORSE POWER watu washapotezwa na mengine mabaya zaidi kuzidi hili
Funguka zaidi?Duhh nyie watu ndo magufuli atawachapa sana mwaka huu
Duuh kwa hiyo mkuu,kwa kuwa walishapotezwa na mengine mabaya zaidi na wewe unapitia hapohapo?
Samahani katika imani yako inaruhusiwa mwanadamu kupata msaada kutoka kwa jini?je unavyowafundisha watu kupata misaada kutoka kwa jini,unadhani watamtumaini Mungu au ndiyo watakimbilia kwa majini?
"Two wrongs don't make a right"
Duuh kwa hiyo mkuu,kwa kuwa walishapotezwa na mengine mabaya zaidi na wewe unapitia hapohapo?
Samahani katika imani yako inaruhusiwa mwanadamu kupata msaada kutoka kwa jini?je unavyowafundisha watu kupata misaada kutoka kwa jini,unadhani watamtumaini Mungu au ndiyo watakimbilia kwa majini?
"Two wrongs don't make a right"
Naweza kuonekana wa ajabu kwa msimamo wangu wa kutetea kitu ambacho kwa asilimia kubwa hakina madhara kwa wengine lakini huo ndio msimamo wangu
Sioni shida kumuita jini na kufanya nitakayo kama yatakuwa hayaumizi wengine kuliko kujifanya mimi ni mtu mtakatifu sana kumbe hata familia yangu naifanyia mabaya ikiwemo jamii inayonizunguka na wengine pia
Aisee.Oops!
"Two wrongs don't make right",this is insult dude,can you focus in your argument without using harshly language?
ok let me take this phrase as my premise;"if two wrongs can't make right one,then right one can't make wrong?".....indeed,because opposite is true
All demons were created by God,so if God is right one then his creation,i mean demons,will never be wrongs
in my view,there is nothing wrong about their beliefs because even demons are right and perfect since their creator is right also
teh teh teh
Hapa na mini ni mwanafunzi nitajaribu hivyo kesho nikienda msata
hivi mkuu hamnaga malaika wa kike, na hujui jinsi ya kuwaita?
rsk , mkuu MziziMkavu ndio yuko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kulielezea hiliMshana jr hebu tudadavulie hii mada kwa undani naona kila mtu anaongea lake tu.