fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 738
- 1,017
Huku tozo zikiwa zinazidi kunjunja vichwa, nimeona leo tujaribu kurahisisha maisha pale unapokwama.
Ndugu hakuna njia yakutatua tatizo lako ukiwa ukingoni bila kuomba msaada au comeback kwa marafiki mpaka ndugu.
Sasa leo mimi kwakua watu wanajaribu kuanzisha movement zao kwamba "BORA UMFADHILI MB'UZI, UTAMLA MCHUZI" Mimi nataka niwaambie MIMI NIKIKOPA NALIPA ONTIME
Ila leo nataka niwapenyezee wakopaji wenzangu siri namna yakukopa kwa mtu unaejua anayo pesa ila awezi kukupatia yote unayo ihitaji kwa huo mda.
Siri ni hii
Kama unataka kumkopa 50,000tsh basi muombe 100k
Utaskia
"Aise 100k sina hapa ila nina 50k, tu🤕"
Hapo unakua umetimiza lengo kimtindo...
Unakopaje?